Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Hivi zuku si ni ya ungo tu??, na ni bei gani?Kina Zuku ni Unlimited kweli, hizi za kina Airtel ni 500GB-1TB then wana drop speed, haikati ila utatumia kwa speed ndogo. Kama matumizi ni 30GB hata Airtel inakufaa unlimited yao.
Dah jobless pro max, Sina maisha🤒Jobless kama jobless
Zuku ni fiber, 69,000 kwa mwezi inaanza sema hawapo maneno yote, wapo mjini, upanga, kkoo na baadhi ya maeneo kama mbezi.Hivi zuku si ni ya ungo tu??, na ni bei gani?
Dah 69000 kitonga hadi Raha, mimi Nina ya voda mkuu ila 150+.Zuku ni fiber, 69,000 kwa mwezi inaanza sema hawapo maneno yote, wapo mjini, upanga, kkoo na baadhi ya maeneo kama mbezi.
mwezi wa3 sahivi nampa hizo buku 9, me najiachiaKuna mtu anaenda kuumia hapa! ogopa matapeli mjini apa! nmemaliza atakaeunganishiwa akakaa siku 3 bas alete ushuhuda hapa! Tunasubiri mrejesho
IPTV app gani unayotumia Mkuu?mwezi wa3 sahivi nampa hizo buku 9, me najiachia
Kama tv ni android unadownload kama app nyingine tu za smart tv, ukimcheki jamaa hapo atakuelekeza vizuriIPTV app gani unayotumia Mkuu?
Mi haya makitu yamenishinda sababu ya TV nliokua haina App ya IPTV