*_Mafanikio siyo bahati tena ni lazima tuishi na tuonekane tumefanikiwa_*
"Napoleon Hill 'whatever the mind of man can conceive and believe, it can achieve' yaan, chochote kile ambacho akili ya binadamu inajazwa kwacho na inaamini basi itafanikiwa kukipata. Baadhi ya watu husema 'hii kazi mm siiwezi' au 'hii biashara mm siiwezi' basi amini kweli hautaiweza kamwe. Angalia mambo yanayokupa nguvu kukufanikisha kwa kile unachokifanya na sio kuangalia yanayokutisha na kukukatisha tamaa."
Helping Hands International