Changamkia fursa ya helping hands international H2i

Changamkia fursa ya helping hands international H2i

1479155216191.jpg
1479155247098.jpg
1479155270376.jpg
1479155298555.jpg
 
*_Mafanikio siyo bahati tena ni lazima tuishi na tuonekane tumefanikiwa_*

"Napoleon Hill 'whatever the mind of man can conceive and believe, it can achieve' yaan, chochote kile ambacho akili ya binadamu inajazwa kwacho na inaamini basi itafanikiwa kukipata. Baadhi ya watu husema 'hii kazi mm siiwezi' au 'hii biashara mm siiwezi' basi amini kweli hautaiweza kamwe. Angalia mambo yanayokupa nguvu kukufanikisha kwa kile unachokifanya na sio kuangalia yanayokutisha na kukukatisha tamaa."
Helping Hands International
Mkuu..embu tuambie
Vipi umenufaika na nini tangu ujiunge na hao H2i
Na..je umepata faida yoyote..maana hapo juu umetuwekea picha za magari
 
After RIFALO kufeli sasa naona mmekuja na Hiyo sijui H..nin....hayo maono kila siku yanatoka Ngambo tuuuu
 
Hawa matapeli nina hasira nao yaani naweza kumvua MTU pichu hivi hivi
 
DECI,RIFARO nyingine hii!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
DECI, RIFARO....BABU WA SAMUNGE
Mi huwa nashangaa jinsi Serikali inavoruhusu matapeli ku-operate mubashara kama ni halali, eti hadi wamepata usajili wa Brela. Dadadek
Free Market economy mkuu!!
 
Back
Top Bottom