Yap kama uto ridhika na maelezo ya uko unaandika tu eutelsat inaleta full detail pia kama uta kuwa ujaridhika unaweza kunialika nikutembelee kwa marlezo zaidiNa itaonyesha watu inaofanya nao kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap kama uto ridhika na maelezo ya uko unaandika tu eutelsat inaleta full detail pia kama uta kuwa ujaridhika unaweza kunialika nikutembelee kwa marlezo zaidiNa itaonyesha watu inaofanya nao kazi
Ipo wazi, unlimited ila speed inapungua ukishatumia GB kiasi fulani. Soma vizuri maelekezo yakeNi unlimited kwa uo mwezi nilio lipia ?
Ni unlimited Kwa miez yot utayo lipia but speed itashuka kutokana na matumiz ya GB pia internet yetu ina patkana hata sehem zisizo kuwa na mitandao kabisa yaan vijijin ndan bad tunawez funga mfumo wetu na ukafanya kaz na kwa myeja anae taka vifurushi elekez yan visivyo shuka speed yan kama anataka atembelee mbps 10 mwanzo mwisho ata ange tumia gb 1000 kwa siku speed itabak ile ile iyo ipo tunaita priority bandle japo bei yake ni tofaut kidogoNi unlimited kwa uo mwezi nilio lipia ?
The problem is at creating portfolio. obviously we start at zero, I mean you can't have a previous work while you have done nothing. So, kama sijawahi kufanya kazi yoyote kama freelancer ntawezaje kuwapata wateja maana sitokuwa na kazi ya kunitambulisha kuwa nilishawahi kufanya kazi hapo awali.Kwanza, Freelancer ni nani?
Freelancer ni mtu yoyote self-employed anayefanya kazi kwa watu/mtu au makumpuni mbalimbali bila kuwa na long-term relationship nao wala commitment za kazi nyingne zaidi, mostly done online.
Typically freelancers hulipwa kwa lisaa, siku ama muda service anayotoa kwa clients wake. Baadhi au most common feelancing services includes logo designers, kutafsri lugha, voiceovers, uandishi, upigaji picha, editors, programmers, website designers, and professional consultants, as well as many other services.
Popote pale ulipo duniani, ukiwa na internet, smartphone au PC basi you can be a freelancer. Mambo muhimu ya kuzingitia kuwa freelancer ni yafuatayo:
1: Chagua Niche (kiukweli sijajua nini maana ya niche kwa kiswahili, but)
Hili ndilo eneo ambalo utabobea na kutoa huduma zako. Inaweza kuwa graphic design, writing, photography, video editing, au ujuzi mwingine wowote unaoupenda sana. Chagua niche ambayo unajua vizuri, na ambayo unafurahia kufanya.
2: Build your portfolio
Mara tu umechagua niche yako, hatua inayofuata ni kujenga portfolio yako. Huu ni mkusanyiko wa kazi zako na ujuzi. Portifolio yako inapaswa kujumuisha mifano ya kazi zako bora, makampuni au watu uliofanya nao kazi huko nyuma.
Hakikisha portifolio yako inavutia na rahisi kusomeka na clients. Namna kuu mbili za kuonyesha portifolio yako ni unaweza kutengeneza website au kujiunga na platforms kama behance au Dribble kuonyesha portifolio yako kwa urahisi zaidi. Kama hana kazi za nyuma basi step inayofuata itakufaa.
3: Build your network au Sign up na Platforms zinazojihusisha na Freelancing
Networking is key katika utafuta wateja na kukuza biashara yako ya freelancing. Unaweza kuanza kwa kuwasiliana na network ya watu wako wa karibu, marafiki na familia. Unaweza pia kutumia social media platforms kama LinkedIn, Twitter, na Instagram kupata wateja wanaohitaji huduma unayo offer.
Na kama hauna hizi networks, Bas unaweza kujiunga na platforms ambazo zitakutafutia wateja. Platform hizi ni kama Upwork, fiverr, freelancer, people Per hour na nyingine nyingine. Kujifunza zaidi namna ya kufanikiwa na hizi platform, bas usisahau kusubscribe. Maana tutakuwa na video za aina hiyo kukufundisha.
4: Set your rates (Jipangilie bei ya service yako)
Kupangilia bei ya service inaweza kuwa tricky kidogo, lakini ni muhimu sana. Hupaswi kujipandisha bei ya juu sana hupaswi kujishusha bei maana utakuwa unaji-undervalue. Fanya research ya bei ya services kama zako na cheza na bei hizo pia hakikisha ujuzi wako unaendana na bei unazojipangilia.
5: Manage your time (au Pangilia muda wako)
Kama freelancer, time management is key. Inakubidi upangilie muda wako effectively kufikia deadlines, deliver kazi high-quality, na jitahidi ku-manage projects mbalimbali kwa wakati mmoja.
Conclusion: So there you have it, my top tips for becoming a freelancer. Remember to choose your niche, build your portfolio, build your network, set your rates, and manage your time effectively. And most importantly, stay motivated, stay focused, and keep hustling. Thanks for reading, and I'll see you on the next one
Mwongozo mzuriKwanza, Freelancer ni nani?

Nashauri kwanza anza kufanya kazi na ambao tayari wanafanya ushauri elekezi au kandarasi (consultancy services or assignments), ukiwa msaidizi wao.The problem is at creating portfolio. obviously we start at zero, I mean you can't have a previous work while you have done nothing. So, kama sijawahi kufanya kazi yoyote kama freelancer ntawezaje kuwapata wateja maana sitokuwa na kazi ya kunitambulisha kuwa nilishawahi kufanya kazi hapo awali.