Changamkia! Jinsi ya kuanza kazi kama Freelancer 2023

Ni unlimited kwa uo mwezi nilio lipia ?
Ni unlimited Kwa miez yot utayo lipia but speed itashuka kutokana na matumiz ya GB pia internet yetu ina patkana hata sehem zisizo kuwa na mitandao kabisa yaan vijijin ndan bad tunawez funga mfumo wetu na ukafanya kaz na kwa myeja anae taka vifurushi elekez yan visivyo shuka speed yan kama anataka atembelee mbps 10 mwanzo mwisho ata ange tumia gb 1000 kwa siku speed itabak ile ile iyo ipo tunaita priority bandle japo bei yake ni tofaut kidogo
 
The problem is at creating portfolio. obviously we start at zero, I mean you can't have a previous work while you have done nothing. So, kama sijawahi kufanya kazi yoyote kama freelancer ntawezaje kuwapata wateja maana sitokuwa na kazi ya kunitambulisha kuwa nilishawahi kufanya kazi hapo awali.
 
Mwongozo mzuri
 
Nashauri kwanza anza kufanya kazi na ambao tayari wanafanya ushauri elekezi au kandarasi (consultancy services or assignments), ukiwa msaidizi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…