Changamoto baada ya kuweka tiles(vigae)

Tatizo la kuokoteza mafundi wa bei chee! Mradi umeona kijana anatembea na mashine ya kukatia vigae unajua huyu ni fundi kumbe wapi bwana! Nimeshangaa sana kuona hizo nafasi!
 
Eneo ulilojenga lina chumvi chumvi. Kwa vile hujaweka dump proof unyevu unapenya mpaka ndani! Na mafundi wako walikuwa day workers! Karne hii bado wanachafua vigae namna hiyo?
 
Ni hatari sana mkuu, nyumba inaonekana chafu muda wote
 
Tatizo la kuokoteza mafundi wa bei chee! Mradi umeona kijana anatembea na mashine ya kukatia vigae unajua huyu ni fundi kumbe wapi bwana! Nimeshangaa sana kuona hizo nafasi!
Uwekaji mzuri unaonekanaje?. Tunaomba picha.
 
Tatizo la kuokoteza mafundi wa bei chee! Mradi umeona kijana anatembea na mashine ya kukatia vigae unajua huyu ni fundi kumbe wapi bwana! Nimeshangaa sana kuona hizo nafasi!
Na vipi huyu mwamba ameacha space au ndiyo amepatia?
 
Siku sio nyingi utafukuzwa kwenye iyo nyumba maana naona inautajiri wa mafuta
 
Mkuu huyu fundi wako kimeo, spacing tu shida.
Vipi eneo ulilojenga lina maji mengi?
Ndio mkuu,maji ni mengi,lakini hayo maji ambayo yanatoka kwenye hizo space sio maji ni mazito kama kamasi
 
Fundi maiko huyo!
 
Tiles zilizotumika ni kampuni/trade name gani kwanza?
Nahisi ndio zenye shida ya kuyeyusha material fulani yaliyo chini yake inaponyesha mvua
Wacha eeeeee. Kwa mara ya kwanza kiwanda kikawa kimevunja rekodi sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…