Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Tatizo la kuokoteza mafundi wa bei chee! Mradi umeona kijana anatembea na mashine ya kukatia vigae unajua huyu ni fundi kumbe wapi bwana! Nimeshangaa sana kuona hizo nafasi!Hawa ni mafundisho wa wapi washamba hivi mpaka Sasa hivi wanaacha space kati ya kigae? Huo ni uchafu uliopindukia kwani wataalamu wa Sasa hivi hawatumii tena ma spacer na vigae vinakuwa na mwonekano mzuri na hakuna tatizo sijui lanupumuaji, sijue kutanuka hakuna