Changamoto baada ya kuweka tiles(vigae)

Sasa mkuu,pamoja na kosa la fundi,hamuoni kosa lake limeweza kuwapa nafasi ya kugundua kitu? Mpaka sasa,kuna yeyote anayejua changamoto hapo ni nini? Hapo amuite fundi,afumue vigae,waangalie kuna nini chini. Hata kama yangekuwa maji,yangeonekana kwenye hiyo mistari.
Kwenye kupishana kwa mistari, mtamlaumu fundi bure. Hivi vigae vya siku hizi,haieleweki ni kwa nini,viwandani(kama wamo humu),wataelezea shida ni nini. Unachukua package,af badae unakuta havilingani. Hilo limetokea pia kwa mtu mmoja,bahati nzuri ni vile size ndogo vipo bafuni.
 
Inaezekekana kurekebisha tatizo , lakini pia kama upo vizuri piga tarazo
 
Uko sahihi...!

Kuhusu Vigae kupishana, Vigae vingi sasa vinapishana, hasa vya Bongo, China na India....!

Vigae ambavyo sijawahi kuona vikipishana na kutoka Spain, navyo bei yake ni Mkasi.
 
Nasikiaga nyumba nazo zina fangasi.
 
Ni kweli kabisa mkuu, changamoto kubwa iliyotokea hapo ni vigae kutokuendana,yani fundi alihangaika sana wakati wa kuweka vilikuwa vinapishana
 
Ni kweli kabisa mkuu, changamoto kubwa iliyotokea hapo ni vigae kutokuendana,yani fundi alihangaika sana wakati wa kuweka vilikuwa vinapishana
Hapo usipokuwepo utamlaum tu bule. Mara huenda amevikata,mara nini.
Kwa upande wangu sioni kosa lake,maana ikiwa havina uwiano,lazima makosa yaonekane.
Sasa hapa, mchina akileta mashine zake na kujizolea pesa,wanamuandama na kumuonea wivu. Ina maana watengenezaji hawajapata taarifa ya makosa yao? Au kosa wanunuaji?!
 
Tafuta hela kenge wewe
 
Akili yangu inaniambia hapo tatizo ni hiyo grout.

Toa hiyo grout, weka nyingine iliyo bora!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…