Sasa mkuu,pamoja na kosa la fundi,hamuoni kosa lake limeweza kuwapa nafasi ya kugundua kitu? Mpaka sasa,kuna yeyote anayejua changamoto hapo ni nini? Hapo amuite fundi,afumue vigae,waangalie kuna nini chini. Hata kama yangekuwa maji,yangeonekana kwenye hiyo mistari.Hizo tiles hazikuwekwa na fundi professional...! Nimegundua hilo baada ya picha moja kuonesha tofauti kubwa ya lines!
Pia hata uwe Groute, ama hawakutumia Groute yenye
Ubora ama hawakuweka kwa Utaalam!
Kwa sababu Groute ina cement na mchanganyiko mwingine ndani yake, uki apply vile inatakiwa, haiwezi kuruhusu maji mazito kama hayo kutoka ndani kuja nje, zaidi ungeona Groute ina unyevu tu.
Ndo mara ya kwanza kuona kitu kama hicho.
Kwenye kupishana kwa mistari, mtamlaumu fundi bure. Hivi vigae vya siku hizi,haieleweki ni kwa nini,viwandani(kama wamo humu),wataelezea shida ni nini. Unachukua package,af badae unakuta havilingani. Hilo limetokea pia kwa mtu mmoja,bahati nzuri ni vile size ndogo vipo bafuni.