Huju bei inabadirika badirika lakn kama gunia la debe 10 ni 370 hadi 400 like kubwa la kusafirisha lina hadi 770 ila kuna siku inashuka lakn ukitaka uchukulie kisiwan ndoo bei inakua chini zaidi kama me nachukulia kisiwani inakua chini Zaid maan naanik mwenyeweKama ushafanya research ya soko huko unakopeleka hapo mchaw vibali tu bhas, vp Bei huko mwaza gunia linaendje kiongoz
Kisiwani bei ganiHuju bei inabadirika badirika lakn kama gunia la debe 10 ni 370 hadi 400 like kubwa la kusafirisha lina hadi 770 ila kuna siku inashuka lakn ukitaka uchukulie kisiwan ndoo bei inakua chini zaidi kama me nachukulia kisiwani inakua chini Zaid maan naanik mwenyewe
Hv nawezaje kupata connection ya supplier mwaminifu wa dagaa wale wa mafuta kutoka kisiwan kabisa huko mwanza?Huju bei inabadirika badirika lakn kama gunia la debe 10 ni 370 hadi 400 like kubwa la kusafirisha lina hadi 770 ila kuna siku inashuka lakn ukitaka uchukulie kisiwan ndoo bei inakua chini zaidi kama me nachukulia kisiwani inakua chini Zaid maan naanik mwenyewe
Ww mafuta ndio wakoje kama ni wa kukaanga naweza kukusaidiaHv nawezaje kupata connection ya supplier mwaminifu wa dagaa wale wa mafuta kutoka kisiwan kabisa huko mwanza?