Changamoto gani iliopo kwenye biashara ya dagaa

Siraji66

Member
Joined
Dec 6, 2021
Posts
8
Reaction score
7
JamanI mimi nataka nifanye biashara ya dagaa nakua nasafirisha kutoka mwanza kupereka songea na iringa je ni changamoto gani ninaziweza kukutana nazo.

Nahitaji TahadharI, faida zake na hasara zake kabla sjaamua kuanza kufanya biashar rasimi maana uzoefu ninao ila sio kuuzia nje ya mkoa
 
Kama ushafanya research ya soko huko unakopeleka hapo mchaw vibali tu bhas, vp Bei huko mwaza gunia linaendje kiongoz
 
Huju bei inabadirika badirika lakn kama gunia la debe 10 ni 370 hadi 400 like kubwa la kusafirisha lina hadi 770 ila kuna siku inashuka lakn ukitaka uchukulie kisiwan ndoo bei inakua chini zaidi kama me nachukulia kisiwani inakua chini Zaid maan naanik mwenyewe
 
Kisiwani bei gani
 
Hv nawezaje kupata connection ya supplier mwaminifu wa dagaa wale wa mafuta kutoka kisiwan kabisa huko mwanza?
 
Back
Top Bottom