Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Aah we acha hizo, akutane nayo ukubwani hiyo vipi?
Ndio hivyo
Tena kuna wanawake huwa wanafanya kama hela ya matunzo ya mtoto ni sehemu ya chanzo cha mapato yake...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah we acha hizo, akutane nayo ukubwani hiyo vipi?
Wape ushuhuda, hawaelewagi....Kaka yangu huo n msalaaa[emoji17][emoji17]
Hawaachanagi hao kwa kisingizio cha mtoto, wengine wanaendaga mbali kwa viujinga vya kuitwa co-parenting, kuwa na mahusiano na mtu mwenye mtoto ni sawa upo na mpenzi wa mtu.....we kama unaweza kumuacha muache tu
Shida yote ya nini ilhali mabinti wapo tele?Hawaachani na waume waliowwzalisha
Wakikutana mwamba akitaka mzigo faster
Gharama za maisha zinaongezeka kwako unahudumia manii ya mwenzako, pata picha mkeo alikuwa anafurahia wakati anazini na huyo baba mtoto alafu unakuja kulipa ww ada starehe ya mwenzako [emoji38][emoji38]
Nna 35+ na watoto wawili, nataka kuoa binti mbichi ana 22yrsUmri.
Asilimia kubwa, mwanaume anaishi/anaoa mwanamke ayeendana naye kiumri. Mwanaume mwenye miaka 35+, mwanamke wa kuendana naye anakua ameshazaa
Tulikubaliana hakuna kuoa, tukiongozwa na Liverpool VPNKwani mlikubaliana nini babu!?
🤔
Tulikubaliana hakuna kuoa, tukiongozwa na Liverpool VPN
Ishu ya kuachana inategemea haswa kama mwanaume ndo kaamua kumuacha mwanamke na hataki kumrudia kwa namna yoyote ile,Hawaachanagi hao kwa kisingizio cha mtoto, wengine wanaendaga mbali kwa viujinga vya kuitwa co-parenting, kuwa na mahusiano na mtu mwenye mtoto ni sawa upo na mpenzi wa mtu.....we kama unaweza kumuacha muache tu
Huwa haawachani..... ila mzigo sio wa single maza pekee wote wale waleIshu ya kuachana inategemea haswa kama mwanaume ndo kaamua kumuacha mwanamke na hataki kumrudia kwa namna yoyote ile,
Binafsi nimeacha mke ambaye nimezaa nae watoto wawili,
Baada ya kupitia nyuzi kadhaa za jf kuhusu kuoa singo maza ikabidi nifanye majaribio ya kuomba kupasha kiporo kwa mtalaka wangu ambaye nimeshazaa nae watoto wawili alikua ameshaolewa huko na mwanaume mwingine
Alichokifanya yule mwanamke amekubali kweli na akafunga safari kutoka huko kwa mumewe mpaka nilipokua ili kupasha kiporo, ananipigia simu ananiambia ameshafika nimuelekeze nilipo
Nilichokifanya mimi nikamtumia pesa nikamwambia,
"rudi nyumbani mi nipo kazini sa hizi"
Nami naungana na wanaume wenzangu
HAKUNA KUOA SINGLE MOTHER MPAKA UHAKIKISHE UMEONA KABURI LA BABA MTOTO/WATOTO WAKE
Makubwa tena haya. Yan wanaume mna vituko sanaMi sina pesa na naoa asiyezaa [emoji28]
Kwann mamaMakubwa tena haya. Yan wanaume mna vituko sana
Wewe unaoa asiyezaa. Kwanini sasa una shida ya uzazi au mimi ndio sijaelewaKwann mama
Yani naoa binti ambaye anaanza kuzaa na mimi!Wewe unaoa asiyezaa. Kwanini sasa una shida ya uzazi au mimi ndio sijaelewa
Sawa. All the bestYani naoa binti ambaye anaanza kuzaa na mimi!
Nimesemea kwa wazee mkuu 60+[emoji3] wewe unaoa tu bila shida au ni mzee?Mi sina pesa na naoa asiyezaa [emoji28]
Hahahah mi niko mpakani mwa uzee na ujanaNimesemea kwa wazee mkuu 60+[emoji3] wewe unaoa tu bila shida au ni mzee?
Ndio mapato ya matunzo ya mtoto.Ndio hivyo
Tena kuna wanawake huwa wanafanya kama hela ya matunzo ya mtoto ni sehemu ya chanzo cha mapato yake...