Kivipi ...Kuna wanao acha haja kubwa na ndogo.
Wale wanaotumia kwa mpalange Itakuwa sasa si muwe mnawafulishaKuna watu ustaarabu umewashinda, unakuta shuka zina kinyesi.
[emoji23][emoji23]doh Hapo kuchafua mashuka ni shughuliBiashara hii ukiiweka uswahilini utajuta na hasa ukiruhusu ule upuuzi wa show time utafua mavi mpaka uzoee, hii kitu weka sehemu strategic pia weka bei ya juu ilimradi pako safi panavutia na pia bei ikiwa juu utakua na watu classic na pia utaweza kuwalipa wafanyakazi vizuri na hakutakuwa na shida
Sasa si wafue mie binafsi nikiwa hata hotel huwa sipendi kuchafua vitu ka mashuka loh. Hizi kazi ni changamoto aiseeUnakuta uchafu akiwa amesha check out, kunacwatu pia wana ulemavu wa kutoa haja ndogo usingizini.
Iko hivi, mgeni anakuja reception , analipia siku alizolala anaaga. Mara nyingi wakiwa wana carry on another night wanakua wastaarabu sana.Sasa si wafue mie binafsi nikiwa hata hotel huwa sipendi kuchafua vitu ka mashuka loh. Hizi kazi ni changamoto aisee
Acha uoga weweSasa si wafue mie binafsi nikiwa hata hotel huwa sipendi kuchafua vitu ka mashuka loh. Hizi kazi ni changamoto aisee
Anakuwa amelewa au mambo mengine?Kuna watu ustaarabu umewashinda, unakuta shuka zina kinyesi.
Jibu ni kununua shuka nyingi, zenye kinyesi unatupa, za mikojo unafua kwenye washing machine.Niliingia gesti fulani wayback 2017 nikakuta ukutani wameweka bango likitahadharisha juu ya kuchafua mashuka kwa kinyesi au damu.
Na onyo likisema ni utafua mpaka yatakate ndiyo utaruhusiwa kuondoka. Chini ya meza kuna tangazonlikitahadharisha uukiwa unaondoka ukisimamishwa na mtu akisema kuna deni umeacha usiwasikilize hao ni matapeli.
Tupe location ya mjengo wako na gharama zake. Au namba ya receptionist.
Ukikuta hivyo ujue wamesodomeana.Kuna watu ustaarabu umewashinda, unakuta shuka zina kinyesi.
Sio uoga kwanini uchafue sehemu na vinyesi au takataka then usepe, Mimi hata kutupa taka hovyo sipendi nimekuwa kwenye usafi banaAcha uoga wewe
Vinyesi na takataka of coz siyo ishu ila napata picha kwamba wewe hata kujigaragaza haujigaragaziSio uoga kwanini uchafue sehemu na vinyesi au takataka then usepe, Mimi hata kutupa taka hovyo sipendi nimekuwa kwenye usafi bana
Kujigaragaza kivipi sasa?Vinyesi na takataka of coz siyo ishu ila napata picha kwamba wewe hata kujigaragaza haujigaragazi