Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Nyumba ya wageni ikiwa kwenye location nzuri, penye shughuli za kibiashara, ni biashara iitakayo kuingizia pesa ya kula hata na ya ada ya watoto.
Sikuhizi watu wanapenda vyumba ensuite, hivyo uwe na uhakika wa kupata maji. Maji yakikosekana fanya jitihada ya kujaza matank ya akiba.
Kuna wageni si wastaarabu, wanaacha uchafu unao gharimu kusafisha. Kuna anaeacha soda inafoka mpaka inajaa ukutani. Kuna wanao acha haja kubwa na ndogo.
Wengine wanapigana chumbani na kuvunja furniture. Hasa wale wanaoingia na dada poa, wakisipokubaliana malipo utakuta kioo cha ukutani ni vipande sakafuni.