Changamoto katika mafanikio

Changamoto katika mafanikio

Nasri39

Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
15
Reaction score
19
✍🏿 Kila mtu anaye ishi anahitaji kuwa na mafanikio kwa ghalama yoyote ile.
Wengi tumekuwa tukikosa kuyaendea malengo yetu ambayo n mafanikio kwa baadhi ya changamoto.

🙏🙏 Naomba ni bainishe baadhi ya changamoto ili uzijue na ukabiliane nazo.
1. KUPOTEZA NDGU NA MARAFIKI: Unapo anza kutendea kazi malengo yako lazima tu utakosana na baadhi ya watu kama, baba,mama,Dada ,mpzn na kadhalika hii ni lazima kwa sababu ,wewe unapojiwekea malengo una andaa mipango yako wewe kama wewe kulingana na mtazomo wako juu ya maisha ( kila mtu ana mtazomo wake juu ya maisha) ,hivyo basi ukishajiwekea malengo yako utajikuta unakizana na mitazomo ya baadhi ya watu hivyo basi watu hawa utakosana nao .

Ndo maana matijiri wengi huwa hawakosi watu wa kuwalaani🙆‍♂️🙆‍♂️ au kuwa chukia ,nikwa sababu waliamua kufata ndoto zao wala sio ndoto za wengi hapo wataibua chuki ( lakin hata wakuchukie vp hawawezi kubadili hatima yako kwani hatima yako unaitengeneza wewe mwenyewe ndo maana mpaka sasa upo duniani)🧏‍♂️🧏‍♂️ , Uskubali kusikiliza Fulani kasema nn au amesema je pale wewe unapo amua kubadili maisha yako, badilisha tu.

💧 Kuwa kama serikali ikiamua barabara ipite hapa itapita hapo tu hata kama RAIA wapige kelel KVP itapita tu, ila mwishoe watafaidika wao Raia kama serikali ikiamua kuwasikiliza raia hawawez kufaidikia na serikali haita faidika.

👆🏽 Hivyo unapo amua kutengeneza maamuzi ya kubadilisha maisha usjalishe utakosana na nani au kupingana na nani, ww amua watafaidika na maamuzi yako baadae

1. Kujitoa muhanga.
👆🏽Lazima ukumbane na changamoto kama hii ya kujitoa wewe kama wewe kwa
- kufanya kazi kwa nguvu
  • kujinyima kwa ajiri ya kutimiza ndoto zako.
  • kupitia maumivu.
  • kudhalilika.
  • kuchekwa.
  • kuumia
  • kunyanyaswa.
- na mengineyo
Lazima upitie kwenye wakati mgum sana usiwe muoga wa kufanya maamuzi magum kwa kuiogopa jamii,mateso au kesho lazima tu ujue kwamba ili upate kufanikiwa unahitajika ujitoe muhanga kwa aina mbalimbali.

🙏🙏 Mafanikio yako sio ya mume wako, mke wako ,au nani ni ya kwako ndo maana ukishamiliki vitu hawezi kuchukua mtu mpka kwa idhini yako hata awe nani. Hii inaonyesha kwamba ili ufanikiwe lazima ujioe muhanga wewe kama wewe.

💧 Waswahili hapa wasema usione vya Elea jua vimeundwa( maana yake kila penye mafanikio kuna maumvu makali)
3. KUKATALIWA NA WATU
💧 Kaka& Dada unapo taka kutimiza malengo yako ama kuiendela safari ya mafanikio lazima tu utakataliwa na baadhi ya watu ,wanaweza kuwa n marafik,mpzn,wazazi ndugu na kadhalika, wao hawaamini kile unacho kilenga kama unaweza kufanikiwa wengi watakuona ,ww n kichaaa, huwezi watakupa majina mengi sana kulivyo unavyo jua wewe, HAPA HAPA HAPA ndo utasikia mtu Fulani huwa n bairi😁😁 usiogope kiongoz ipo siku ubairi wako utawasaidia hata kwa kuwaletea gari jipya machoni mwao wakalionaaa🤝

🧏‍♂️ Siri kubwa ninayo kupa wakukibali wasikukubari hawawezi kukusaidia lolote kufikia malengo yako, akili yako,imani yako, kujituma kwako,ndo msaada mkubwa wa kukusaidia wewe kuyafikia malengo yako.

Hivyo basi usiogope kupoteza marafiki kwa jairi ya kuyaende malengo yako.
👍🏿 Sikia malengo yako ndo yanakupa watu sahihi kabisa ila sio watu wanao kupa malengo sahihi,( itatoka makala ya kipande hiki)

4. Changamoto ya kufeli ( makala yake ishatoka *kaisome)
5. Changamoto ya kuchelewa kufikia mafanikio yako* : duuh ukiona unapanga mikakati yako( malengo) hayafiki kwa wakati hapa nakushauri ubadilishe mfumo wako wa utendaji( soma makala ya hatua za mafanikio itakupa uzujuzi ya kufanikisha malengo yako kwa wakati).
 
Back
Top Bottom