Changamoto katika mfumo wa ESS UTUMISHI

Changamoto katika mfumo wa ESS UTUMISHI

RingaRinga

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2015
Posts
1,047
Reaction score
521
Habarini viongozi, yeyote aliyefahamu namna ya kukabili changamoto hii katika kujisajili kwenye mfumo wa "ess utumishi" tusaidiane hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20231002-082353.jpg
    Screenshot_20231002-082353.jpg
    68.8 KB · Views: 6
Nenda kwenye email then update email zako ,huenda una more than one email.

Mimi nimejaza na nimesubmit ,Sasa masala njia ya ya panya tu nitoke huku nilipo.
 
Weka E-mail ambayo uliweka kwenye taarifa za mfumo wa mishahara.

E-mail uliyoweka hai match na ambayo umeweka kwenye mfumo wa mshahara
 
Huu mfumo mbona mtu akiingia kuangalia transfer request inaload tuuu bila kufunguka na wakati request unaziona?
 
Back
Top Bottom