Changamoto katika ujenzi: Mafundi uchwara wanavyoharibu kazi

Hawa ni mafundi wa mchongo
Unachopaswa kuelewa wakati wa kujenga ngazi lazima uweke mahali pa kutua baada ya kila hatua 10. Kulingana na picha hapa chini ilipaswa kuwa na kutua 2.
 
Kuna jirani anaweza kuwa kuwa rafiki wakati wa ujenzi lakini akaja kuwa adui wakati wa kuhamia✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…