Ndio hivyo!!!Wanatumaga email kwanin umeahindwa na mda wa ku-appeal alichoongea ni uongo
Mara nyingi Document za zinaweza kuwa in Excell, Word au Pdf sasa Mfumo kwa kawaida unapokea Pdf Ndio inakuwa safe zaidi!!!Shukrani sana Mkuu umeeleweka je Format unamaanisha nini Mkuu
kuwa corrupted ni tatizo la nani mkuu au inatakiwa kufanyika vipi kuepeusha hayo mamboPdf uko sahihi kabisa!!!!
Lkn nilichokisema hapo kinatokea sana!!! Docs zinakuwa corrupted
Hapa mzee pengine aliyeupload au wenye mfumo!!!kuwa corrupted ni tatizo la nani mkuu au inatakiwa kufanyika vipi kuepeusha hayo mambo
Hapa kazi kwelikweli, kuepeukana na hayo mambo tufanyejeHapa mzee pengine aliyeupload au wenye mfumo!!!
Lkn kumbuka. Kama ni wenye mfumo Mbona zingine zinafunguka vzr?
Jibu litarudi ni Watumiaji wa mfumo
Kama matokeo hamjapewa je umejuaje kwamba wewe ni lowest bidder?!TANEPS ni mfumo ambao Serikali na mashirika mengine ya Umma wanautumia Kutangaza Tender Mbalimbali kwa kutumia mfumo wa manunuzi wa serikali NA Sheria ya manunuzi ya serikali kwenye huduma mbalimbali
Mfumo huu Mara nyingi wanapotangaza tender wanatuma Email kwa wale wote ambao wamesajiliwa kwenye huo Mfumo, Ila Cha kushangaza Tender ikishafunguliwa maana inafunguliwa Online moja kwa moja huwa hawatumi Email tena kuwajulisha kwamba ni nani ameshinda Hiyo tender, Japo wana Option ya Bid Open Details unaweza kuona tu waliomba wangapi na nani ame bid value ya Chini sana na nani ane bid ya Juu lakini hauwezi kuja Kuambiwa ni nani amekuwa awarded na hiyo tender.
Kuna Kampuni moja hivi niliwahi kufanyia kazi Tuliwahi kuomba tender kibao tu na nyingi tulikuwa sisi ndio tuna bid ya chini kabis alakini hatukuwahi kupewa hizo tender wala hawajahi kutuambia ni nani alipewa na sisi kama tulikataliwa ni kwa vigezo gani wakati vigezo vyote tulikuwa tunavyo
Hivi hii Husababishwa na nini? Au ndio kuendeleza Rushwa? Inawezekana Kuna mchezo mchafu unafanywa
Sababu email inakuaje outdated wakati email zote za Tender zinaingia ila kimbembe ukishakamilisha hiyo kazi huji kupewa mrejesho kabisa.. Inawezekana hujanielewaNdio hivyo!!!
Pengine kwake kuna hiyo changamoto au huwa kuna tatizo la mawasiliano!!!
Unajua kuna makampuni email Zipo Lakini ni outdated kwahiyo hazipokei jumbe!!! Au hata kama zinapokea hakuna hata anayeifungua!
Ukiingia kwenye mfumo BID OPEN DETAIL unaona, Mimi ninachouliza huenda hujakielewa Mkuu nauliza kwanini baada ya kufungua tender wanapoenda kwenye tathimini hawarudishi Mrejesho nani kashinda kwa vigezo gani na na kwanini wewe umekosaKama matokeo hamjapewa je umejuaje kwamba wewe ni lowest bidder?!
Uongo gani Mkuu au mimi unafikiria nina chuki na hao watu au... hizo Email hawatumi kabisa labda kama wewe unatumia mm email naona notification zote za tender na zile manualy lakini hizo baada ya evaluation kuambia nani amekuwa awarded hawatumi tena kama mwanzo ilivyokuwaWanatumaga email kwanin umeahindwa na mda wa ku-appeal alichoongea ni uongo
Umefanya follow up kwa procurement entity kujua muendelezo? Na umepewa majibu gani? Kama hujafanya ni kwanini usifanye?Uongo gani Mkuu au mimi unafikiria nina chuki na hao watu au... hizo Email hawatumi kabisa labda kama wewe unatumia mm email naona notification zote za tender na zile manualy lakini hizo baada ya evaluation kuambia nani amekuwa awarded hawatumi tena kama mwanzo ilivyokuwa
naogopa kuiweka hapa email niliyowatumia na majibu waliyonipa. ila nilishafanya wakanitumia link ile ile link inakupeleka tu kuangalia open bid dertails tu lakini haikuonyeshi nanai amekuwa awarded na kwasababu zipi, PE nilimuuliza aksema walitupigia simu haikupatikana nikawauliza kwanini hamkutuma email hawakuwa na majibu ya maanaUmefanya follow up kwa procurement entity kujua muendelezo? Na umepewa majibu gani? Kama hujafanya ni kwanini usifanye?
Tatizo lako linafanana sana na tatizo langu Mkuu hata mimi nilifanya hivyo hivyonaogopa kuiweka hapa email niliyowatumia na majibu waliyonipa. ila nilishafanya wakanitumia link ile ile link inakupeleka tu kuangalia open bid dertails tu lakini haikuonyeshi nanai amekuwa awarded na kwasababu zipi, PE nilimuuliza aksema walitupigia simu haikupatikana nikawauliza kwanini hamkutuma email hawakuwa na majibu ya maana
Hata mimi nilishawafuatilia ahdi sasa nimeamua kuachana na hayo mavitu yao wanatangaza tender kuzuga watu kumbe tayari wana watu waoUmefanya follow up kwa procurement entity kujua muendelezo? Na umepewa majibu gani? Kama hujafanya ni kwanini usifanye?
Wanatumaga barua posta,na paka hiyo barua uipate ni miezi mitano hadi 6 mbele hukoWanatumaga email kwanin umeahindwa na mda wa ku-appeal alichoongea ni uongo
Nilishinda sehem mbili tofauti,hawakunipigia simu.Hata mimi nilishawafuatilia ahdi sasa nimeamua kuachana na hayo mavitu yao wanatangaza tender kuzuga watu kumbe tayari wana watu wao
wanazingua sanaNilishinda sehem mbili tofauti,hawakunipigia simu.
Nilivyokuja kwenda mara ya kwanza wakasema watanijulisha,mda umeenda nikaja wafata tena,wakasema nilikuwa sipatikani.....ukilitimba upo sana aisee.
Sawa Mkuu, basi kuna namna mchakato hauko fair.unathibitisha vipi wakati huo mchakato unafanyika kwa siri bila kuwajulisha supplier wengine mwenzao amechaguliwa kwa kigezo gani
Ni kweli kuna loopholes nyingi Sana Kwenye notification pale huwa Wana weka letter of award tu. Jitahidi uwe unakwenda kwenye opening nadhani inaweza kujibu maswali kadhaa ulionayoHata mimi nilishawafuatilia ahdi sasa nimeamua kuachana na hayo mavitu yao wanatangaza tender kuzuga watu kumbe tayari wana watu wao
Kama unaelewa vizuri mfumo wa Taneps Kila step kuanzia preliminary Hadi financial Kila sababu inayomtoa bidder evaluators Wana rise flag na kuweka justification. Sasa sielewi unataka ujulishwe Kwa barua?sasa kwanini wakishafanya hiyo michakato hawakupi mrejesho kwanini hukutunukiwa? au wewe unaona kawaida tu. Kuna mkataba kama umeandika bei ya chini ukashindwa kusambaza si unalipia hasara