Changamoto kwa wanafunzi wa chuo cha DIT

Mr Bigboss

Member
Joined
Dec 20, 2021
Posts
46
Reaction score
13
Chuo cha DIT inabidi wajitathimini kwa changamoto wanazokumbana nazo wanafunzi wao hususani katika mambo ya IT. System yao ya matokeo ya wanafuzi haipo stable kabisa, yaani unaweza ukakuta matokeo yanabadilika badilika ,

kwa kweli wajitathimini kwa hili .
 
Chuo cha kusoma Technology lkn system ya chuo inasumbua???aaah acha masikhara
 
Kama chuo ni kibovu kwenye mambo ya IT inakuaje graduates wake wa kozi za computer?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…