Changamoto kwenye facebook account yangu

Changamoto kwenye facebook account yangu

Spiderman

Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
9
Reaction score
5
Kama nilivyoeleza hapo juu account yangu ya fb inaonesha Nina account nyingine mbili ambazo mm sizijui na kufanya nionekane nina account tatu ambazo Kila Moja inaweza kuswitch kw nyingne na hii imefanya nikifungua fb nakutana na notifications nying upande wa messager, fb account hzo zimechat na watu pia mm nikiwa nachat na mtu kupitia massager unakuta inabadilishwa out of my control huyo mtu anaanza kuchat na mwngne tofaut namm

Hili tatizo siku chache zilizopita lilifanya account ya fb ifungie (banned) Kwa siku 150 nikafnya nikapambana (nilifanya appeal) nikafunguliwa ila bado hzo accounts zinaendelea ku-exist
Screenshot_20250111-134529.jpg
Mwenye ujuzi wakutatua au kuziondoa kabisa hizi unknown fb accounts kama zinavyoonekana hapo kwenye pichan (adrian Morrison na Jones adrian) anisaidie ili fb account yangu isije ikawa permanently banned.
 
Back
Top Bottom