Shortcut, dual boot windows ya kawaida na windows 7, kwenye win 7 huhitaji workaround.Habari zenu wakuu na wapenzi wa Tecnolojia.
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo hilo hapo pichani, ninatumia program kadhaa za kufungua mitandao kwenye simu,Bypass FRP na kadhalika
Changamoto kuu ni pale ninapohitaji kuweka drivers kama Qualicom na MTK Vcom Drivers huwa hazikai kabsa kwenye Pc yangu.
Nimejaribu kila mbinu huko youtube ikiwemo kuzima Driver signature, kuinstall compatible driver ila bado nimeshindwa kuziweka kwenye PC kwa ajili ya matumizi yangu.
Picha inaonesha device manager >COM ports> qualicom driver yenye yellow color ambayo inaonesha kina shida ya utendaji kazi wa hiyo driver.
WATAAALAMU MNISAIDIE.
Naona Hovatek wana claim kuna driver mpya ambayo haina haja ya kudisable signature hapaNatumia Hp elitebook 840 G3 i5
Window 10 pro updated
Vipi kwa qualicom drivers?? Nateseka sanaNaona Hovatek wana claim kuna driver mpya ambayo haina haja ya kudisable signature hapa
How to install Mediatek USB VCOM drivers in Windows
This step-by-step guide will explain how to manually install MTxxxx MediaTek USB VCOM drivers on a Windows PC. This procedure is universal so it'll work for all Mediatek devices whether Smartphone, Tawww.hovatek.com
Jaribu njia hio mkuu.
Kakq nimewaelewa sana has hapo kweny error Code 10 dah wamenisanua jambo kubwa mnoo aseeeNaona Hovatek wana claim kuna driver mpya ambayo haina haja ya kudisable signature hapa
How to install Mediatek USB VCOM drivers in Windows
This step-by-step guide will explain how to manually install MTxxxx MediaTek USB VCOM drivers on a Windows PC. This procedure is universal so it'll work for all Mediatek devices whether Smartphone, Tawww.hovatek.com
Jaribu njia hio mkuu.
Tutorial kwa same forumVipi kwa qualicom drivers?? Nateseka sana
Na je, window 10 inaweza kuwa tatiz?
shukran sana kaka nilikuwa naihofia sana ile code 10 lakin kumba haina shida sna ngoja nipakue upya mtkTutorial kwa same forum
How to install Qualcomm USB drivers on a Windows PC
This guide will explain how to both automatically and manually install Qualcomm USB drivers (Qualcomm HS-USB QDLoader 9008) on a Windows PC Installer method RequirementsDownload Qualcomm USB drivers iwww.hovatek.com
Sema kwa ufahamu wangu Driver ya Qualcomm haizingui sana, double check tu step zake
ahsante kwa kuniongezea hili mkuuHata mimi nilipata hilo tatizo ila kumbe haikuwa shida nilipoweka tu device ili detect na ikafanya kazi fresh tu.kuna tool moja inaitwa chimera donwload intall alafu ifungue pale utaona drivers ambazo zipo installed tayari na ambaz bado, spd drivers hiz kidg ndo zinasumbua