johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unaelewa maana ya kushawishi?Ni upumbavu kudhani kwamba mtu hana maamuzi yake binafsi mpaka apangiwe na fulani, kama wewe upo hivyo sio kila mtu yupo hivyo.
Taifa kwanza leo na kesho.
Ushawishi!Huyo mteule anawajibika kwa aliyemteua na wala sio kwa kiongozi wa chama... Na kwa hilo suala ni maamuzi ya serikali ndio yatafanya kazi na sio suala la mtu mmoja pekee..
KWA mfano wako huo kuna unachokitafuta [emoji1787]Unaelewa maana ya kushawishi?
Ni kama Halima James Mdee alivyoishawishi NEC na sasa wako bungeni!
Hahahaaaa.......!KWA mfano wako huo kuna unachokitafuta [emoji1787]
Kuteuliwa kwake hakumfanyi acheze ngoma ya kwake. As long as yupo serikalini atalazimika kusimamia na kutimiza sera na agenda za Chama kilichoshinda uchaguziWaswahili husema mchawi mpe mwanao amlee.
Nassor Mazrui ameapishwa leo kuwa Waziri wa Afya wa SUK Zanzibar.
Zitto Kabwe ambaye ni KC wa ACT Wazalendo siku zote amekuwa mstari wa mbele kuponda namna Serikali inavyoshughulikia suala la Corona na amekuwa akitumia zaidi mitandao ya kijamii hasa Twitter.
Ni jana tu alishabikia katazo la Saudi Arabia kuzuia watu wasiochanjwa chanjo ya Corona kwenda Hijja Makka.
Je, kwa kuwa sasa ACT Wazalendo wamekabidhiwa rungu la Wizara ya Afya atamshawishi waziri wake kuleta chanjo za Corona ili walau ipatikane fursa ya kwenda Hijja?
Maendeleo hayana vyama!
Kwa mujibu wa Articles of Union suala la Afya siyo moja ya masuala ya Muungano. Ndiyo maana ZNZ Ina Waziri wake.Waswahili husema mchawi mpe mwanao amlee.
Nassor Mazrui ameapishwa leo kuwa Waziri wa Afya wa SUK Zanzibar.
Zitto Kabwe ambaye ni KC wa ACT Wazalendo siku zote amekuwa mstari wa mbele kuponda namna Serikali inavyoshughulikia suala la Corona na amekuwa akitumia zaidi mitandao ya kijamii hasa Twitter.
Ni jana tu alishabikia katazo la Saudi Arabia kuzuia watu wasiochanjwa chanjo ya Corona kwenda Hijja Makka.
Je, kwa kuwa sasa ACT Wazalendo wamekabidhiwa rungu la Wizara ya Afya atamshawishi waziri wake kuleta chanjo za Corona ili walau ipatikane fursa ya kwenda Hijja?
Maendeleo hayana vyama!
Akija huku wapi?Kwani Zanzibar ni nchi?
Usilojua ni kwamba Mwinyi akija huku unapewa hadhi ya uwaziri..
Ndio ujue Tanganyika ni kiboko ya kazi..
Magufuli is the top of every decision both mainland and at the isles archipelago of Zanzibar..
Kuna chanjo ya Iran mkuu wakiiomba Iran iawasadie just kibinadamu itakuwa poa hivyo suala la gharama kubwa huenda lisiwepoKwa mujibu wa Articles of Union suala la Afya siyo moja ya masuala ya Muungano. Ndiyo maana ZNZ Ina Waziri wake.
Suala la kuagiza chanjo kwa ZNZ halikupaswa kumsubiri Nassoro Mazrui achaguliwe na kuapishwa kuwa Waziri bali hata Katibu Mkuu wa Wizara angeweza kuagiza chanjo.
Kwa mtazamo wangu nitaelewa tu kuwa ZNZ hawajaagiza chanjo labda hawana fedha za kulipia chanjo inayokadiriwa kuwa ni USD 8 kwa dozi moja kwa raia. Kama kuna Wazanzibari 1,200,000 ni sawa na USD 9,600,000 au Tsh 22 Billion
Tukumbuke ZNZ kutokana na kuwa sehemu ya Muungano vyanzo vyake vya mapato ni vidogo sana. Labda walikuwa wanasubiri Tz Bara wawasaidie.
Anachomaanisha ni kwamba Waziri Mazrui apeleke agenda hiyo ya chama chake kwenye SUK. Ikikataliwa, ajiuzulu kulinda msimamo wa chama chake.Bwashee kwani huyo Waziri wa afya anawajibika kwa Kiongozi Mkuu wa chama chake, au kwa Rais aliye mteua? Mbona unaanzisha mada chonganishi?
Kwa hio saudi arabia wamekosea?Waswahili husema mchawi mpe mwanao amlee.