Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 2,802
- 7,551
Mojawapo kati ya hizo.Ya kienyeji au konyagi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mojawapo kati ya hizo.Ya kienyeji au konyagi?
Solution ikawa Ni kumfundisha kunywa pombe ili aondoe aibu, tuenjoy vizuri.
Nashkuru mungu, Alikubali na alianza kujifunzia kwenye soft wine, sahivi Hadi zile strong wine anakunywa bila shida. Kuna kipind ilibidi aanze kujifunzia bia. Nikamuanzishia soft beer (zile zenye majina yanayoishia na LIGHT).Alikua anakunywa ila zilikua zinamzidia mno.
Ebu angalia ujumbe wako umemtaja Mungu, je unamwamini? Waefeso 5:18 inakataa pombe na mengine Mengi.Imeandikwa wapi pombe Ni dhambi?
Mbona akina Zuchu nao huwa wanamshukuru Mungu pindi show() zao kuonesha uchi zinapokwenda vyemaDp bana,eti hadi unamshukuru Mungu[emoji16]
Kila mtu na mzigo wake.Mbona akina Zuchu nao huwa wanamshukuru Mungu pindi show() zao kuonesha uchi zinapokwenda vyema
Kashaoa hawezi kuoa hapo.Bila aibu unakuja kutuambia kuwa umemfundisha mtu(binti) ulevi.
Huyo ashaharibikiwa tayari mwoe mwenyewe
Kweli kabisa,bila Mungu shetani asingekuwepo.Nifanyeje sasa dada angu,
Mungu ndio muweza wa yote
Na uzinzi je sio dhambi? Na kwa nini umtaje Mungu? Kwani Mungu ndie kakuongoza kwenye mafanikio ya uzinzi na pombe?Wakatoriki mpaka leo tunakunywa pombe Kama ishara ya kuikumbuka damu ya yesu.
Huyu n yule mdogo ake mama j au?Habari,
Wakuu Nna mpenz wangu mmoja (Ni Mchepuko Wangu) ni mwanachuo Hapa dsm, Yuko kwenye miaka 20-22 .Kipind tunaanza mahusiano, Changamoto yake Kubwa ilikua Ni aibu. Alikua na aibu sana Kias Cha kushindwa kumfaidi. Solution ikawa Ni kumfundisha kunywa pombe ili aondoe aibu, tuenjoy vizuri.
Nashkuru mungu,
Alikubali na alianza kujifunzia kwenye soft wine, sahivi Hadi zile strong wine anakunywa bila shida. Kuna kipind ilibidi aanze kujifunzia bia. Nikamuanzishia soft beer (zile zenye majina yanayoishia na LIGHT).Alikua anakunywa ila zilikua zinamzidia mno. Ule uchangamfu niloutegemea unapotea kabisa, naghahiri kufanya nae,Naamua kumuacha apumzike tu.
Hivi karibuni kazizoea Sana bia na hazimpelekeshi Kama zamani na akishalewa anakua kwenye mood nzur Sana ya kufanya, anapoteza aibu na anachangamka mno.
Sasa Changamoto Kubwa niliyoiona Ni kwamba uyu akishalewa bia anakua na mwili wa baridi mno, Hii nmeichunguza sio Mara moja Wala Mara mbili. Ni Mara nyingi tu Yaani akishalewa bia tu mwili wake wote unapoa mno. Hadi kule chini nako unakuta kumekua kwa baridi mno.Hii imekua Ni Changamoto sana kwangu.
Mfano Kama kalewa bia afu akapitiwa na usingizi, ukija kumgusa na asistuke. Unaweza kuhisi keshakata roho maana mwili wake wote umepoa mno Kama uliwekwa kwenye friji. Ila kiuhaisia anapumua vizur na ni mzima wa afya.
Nilichokifanya,
Ilinibidi nimrudishe kijanja kwenye kunywa wine, ili kukwepa huo ubaridi. ila Sasa yeye anasema wine hazipendi kivile anapenda sana bia.
Sometimes namnunulia wine, Ila unakuta kaziweka pembeni kaagiza bia anakunywa. Na akishalewa bia ndo vile anarudi kua wa baridi.
Natamani nimwambie UKWELI kua bia zinamfanya anakua na mwili wa baridi mpaka kule chini kunapoa mno ila nashindwa kumueleza, ntaanzaje. Nahisi atajiskia vibaya Sana na yeye ndo anazipenda sana. Sikuhizi Nikienda kwake bila bia au kumwachia Ela ya bia hanielewi kabisa.
Wakuu Nipeni USHAUR,
-Imekaaje Hii, Kuna mtu humu imewai kumtokea?
-Kwanini ubaridi uwe Ni bia TU na sio wine au vilevi vingine
-Naliwekaje wekaje hili (namwambiaje) ili nimtoe uku kwenye bia, Angalau arudi kwenye wine achangamke Kama zamani.
Hii ya kumtamkia wazi kua akishalewa bia anakua na faragha ya baridi naona kama haijakaa sawa kabisa.
Natanguliza shukran[emoji120]
ChildishHabari,

😀😀😀 na motoni anaenda asipotubutena