Changamoto: Mpenzi wangu akishalewa bia anakua na mwili wa baridi mno

Habari,

Wakuu Nna mpenz wangu mmoja (Ni Mchepuko Wangu) ni mwanachuo Hapa dsm, Yuko kwenye miaka 20-22 .Kipind tunaanza mahusiano, Changamoto yake Kubwa ilikua Ni aibu. Alikua na aibu sana Kias Cha kushindwa kumfaidi. Solution ikawa Ni kumfundisha kunywa pombe ili aondoe aibu, tuenjoy vizuri.

Nashkuru mungu,
Alikubali na alianza kujifunzia kwenye soft wine, sahivi Hadi zile strong wine anakunywa bila shida. Kuna kipind ilibidi aanze kujifunzia bia. Nikamuanzishia soft beer (zile zenye majina yanayoishia na LIGHT).Alikua anakunywa ila zilikua zinamzidia mno. Ule uchangamfu niloutegemea unapotea kabisa, naghahiri kufanya nae,Naamua kumuacha apumzike tu.

Hivi karibuni kazizoea Sana bia na hazimpelekeshi Kama zamani na akishalewa anakua kwenye mood nzur Sana ya kufanya, anapoteza aibu na anachangamka mno.

Sasa Changamoto Kubwa niliyoiona Ni kwamba uyu akishalewa bia anakua na mwili wa baridi mno, Hii nmeichunguza sio Mara moja Wala Mara mbili. Ni Mara nyingi tu Yaani akishalewa bia tu mwili wake wote unapoa mno. Hadi kule chini nako unakuta kumekua kwa baridi mno.Hii imekua Ni Changamoto sana kwangu.

Mfano Kama kalewa bia afu akapitiwa na usingizi, ukija kumgusa na asistuke. Unaweza kuhisi keshakata roho maana mwili wake wote umepoa mno Kama uliwekwa kwenye friji. Ila kiuhaisia anapumua vizur na ni mzima wa afya.

Nilichokifanya,
Ilinibidi nimrudishe kijanja kwenye kunywa wine, ili kukwepa huo ubaridi. ila Sasa yeye anasema wine hazipendi kivile anapenda sana bia.

Sometimes namnunulia wine, Ila unakuta kaziweka pembeni kaagiza bia anakunywa. Na akishalewa bia ndo vile anarudi kua wa baridi.

Natamani nimwambie UKWELI kua bia zinamfanya anakua na mwili wa baridi mpaka kule chini kunapoa mno ila nashindwa kumueleza, ntaanzaje. Nahisi atajiskia vibaya Sana na yeye ndo anazipenda sana. Sikuhizi Nikienda kwake bila bia au kumwachia Ela ya bia hanielewi kabisa.

Wakuu Nipeni USHAUR,
-Imekaaje Hii, Kuna mtu humu imewai kumtokea?
-Kwanini ubaridi uwe Ni bia TU na sio wine au vilevi vingine
-Naliwekaje wekaje hili (namwambiaje) ili nimtoe uku kwenye bia, Angalau arudi kwenye wine achangamke Kama zamani.

Hii ya kumtamkia wazi kua akishalewa bia anakua na faragha ya baridi naona kama haijakaa sawa kabisa.

Natanguliza shukran[emoji120]
Kwani Deepond...... Una miaka mingap mbona unabalaa sana ww yani story zako kaka angu zinaonyesha ndo huko foolish age
 
Kaka mwenzangu umemkosea sana huyo mtoto , kiufupi umezingua !!!
Ila chakufanya nenda hospital mpime pressure kabla ya kunywa na baada ya kunywa pombe inawezekana ana pressure ya kushuka , pia mpime mkojo wa kupanda [ urine for culture ] inawezekana ana bacterial infection inayo shusha Ph ya uke mpaka kufikia neutral [ maji baridi ] sababu maji ndio yana ph 0 .
Mengine utashauliwa na daktari
 
Aina gani ya bia akinywa anakuwa katika Hali hio? Mjaribishe Amarula kwanza
 
Dhambi dhambi dhambi.
Mungu yupo pembeni japo umemtaja lakini unachofanya ni Dhambi.Pombe ni dhambi na tena ukampa mwenzio ni dhambi kisha
Uzinzi ni Dhambi
Nani kakudanganya pombe NI DHAMBI?
 
Habari,

Wakuu Nna mpenz wangu mmoja (Ni Mchepuko Wangu) ni mwanachuo Hapa dsm, Yuko kwenye miaka 20-22 .Kipind tunaanza mahusiano, Changamoto yake Kubwa ilikua Ni aibu. Alikua na aibu sana Kias Cha kushindwa kumfaidi. Solution ikawa Ni kumfundisha kunywa pombe ili aondoe aibu, tuenjoy vizuri.

Nashkuru mungu,
Alikubali na alianza kujifunzia kwenye soft wine, sahivi Hadi zile strong wine anakunywa bila shida. Kuna kipind ilibidi aanze kujifunzia bia. Nikamuanzishia soft beer (zile zenye majina yanayoishia na LIGHT).Alikua anakunywa ila zilikua zinamzidia mno. Ule uchangamfu niloutegemea unapotea kabisa, naghahiri kufanya nae,Naamua kumuacha apumzike tu.

Hivi karibuni kazizoea Sana bia na hazimpelekeshi Kama zamani na akishalewa anakua kwenye mood nzur Sana ya kufanya, anapoteza aibu na anachangamka mno.

Sasa Changamoto Kubwa niliyoiona Ni kwamba uyu akishalewa bia anakua na mwili wa baridi mno, Hii nmeichunguza sio Mara moja Wala Mara mbili. Ni Mara nyingi tu Yaani akishalewa bia tu mwili wake wote unapoa mno. Hadi kule chini nako unakuta kumekua kwa baridi mno.Hii imekua Ni Changamoto sana kwangu.

Mfano Kama kalewa bia afu akapitiwa na usingizi, ukija kumgusa na asistuke. Unaweza kuhisi keshakata roho maana mwili wake wote umepoa mno Kama uliwekwa kwenye friji. Ila kiuhaisia anapumua vizur na ni mzima wa afya.

Nilichokifanya,
Ilinibidi nimrudishe kijanja kwenye kunywa wine, ili kukwepa huo ubaridi. ila Sasa yeye anasema wine hazipendi kivile anapenda sana bia.

Sometimes namnunulia wine, Ila unakuta kaziweka pembeni kaagiza bia anakunywa. Na akishalewa bia ndo vile anarudi kua wa baridi.

Natamani nimwambie UKWELI kua bia zinamfanya anakua na mwili wa baridi mpaka kule chini kunapoa mno ila nashindwa kumueleza, ntaanzaje. Nahisi atajiskia vibaya Sana na yeye ndo anazipenda sana. Sikuhizi Nikienda kwake bila bia au kumwachia Ela ya bia hanielewi kabisa.

Wakuu Nipeni USHAUR,
-Imekaaje Hii, Kuna mtu humu imewai kumtokea?
-Kwanini ubaridi uwe Ni bia TU na sio wine au vilevi vingine
-Naliwekaje wekaje hili (namwambiaje) ili nimtoe uku kwenye bia, Angalau arudi kwenye wine achangamke Kama zamani.

Hii ya kumtamkia wazi kua akishalewa bia anakua na faragha ya baridi naona kama haijakaa sawa kabisa.

Natanguliza shukran[emoji120]
Mpe kiwingu au kvant
 
Ndio uyo mkuu
Ok mkuu,naona umeamua kua serious nae siku sio nyingi mama j atabaki na drama zake,btw haijawah kunikuta hio hali ila pia jitahd kumzoesha wine haya mabeer kwa mwanamke yanatampa kitambi,mpe sababu z uongo uongo juu ya beer alaf ataiacha mdogomdogo
 
Kaka mwenzangu umemkosea sana huyo mtoto , kiufupi umezingua !!!
Ila chakufanya nenda hospital mpime pressure kabla ya kunywa na baada ya kunywa pombe inawezekana ana pressure ya kushuka , pia mpime mkojo wa kupanda [ urine for culture ] inawezekana ana bacterial infection inayo shusha Ph ya uke mpaka kufikia neutral [ maji baridi ] sababu maji ndio yana ph 0 .
Mengine utashauliwa na daktari
@DeepPond naona hii haujaiona au haujaijib,naona kama mkuu hapo ametoa ushauri mzuri pia.
 
Imeniuma kweli, watoto wetu kumbe ndiyo wanavyofundishwa namna ya kuwa walevi?
Na bado wakisha kuwa walevi wanaonekana wa hovyoo, duh!
 
Kaka mwenzangu umemkosea sana huyo mtoto , kiufupi umezingua !!!
Ila chakufanya nenda hospital mpime pressure kabla ya kunywa na baada ya kunywa pombe inawezekana ana pressure ya kushuka , pia mpime mkojo wa kupanda [ urine for culture ] inawezekana ana bacterial infection inayo shusha Ph ya uke mpaka kufikia neutral [ maji baridi ] sababu maji ndio yana ph 0 .
Mengine utashauliwa na daktari
Tangu lini maji yakawa na pH ya 0 mkuu, au ni maji yapi hayo? Acha fix basi?
 
Back
Top Bottom