Changamoto: Mpenzi wangu akishalewa bia anakua na mwili wa baridi mno

Mlishajaribu kwenda kwa mpalange maana kule joto huwa ni la kujiokotea
 
Chemsha maji kabisa Mkuu, akishakunywa bia zake, unampasha humo apate joto[emoji23][emoji16]
 

Mwamba anamshukuru Mungu kwa juhudi zake za kumfanya binti wa watu awe mlevi..!!!

to yeye Umeielewa hii concept?
DeepPond Ni Mungu huyuhuyu anayeshukuriwa au mwengine?

#YNWA
 
Ebu angalia ujumbe wako umemtaja Mungu, je unamwamini? Waefeso 5:18 inakataa pombe na mengine Mengi.
Wakatoriki mpaka leo tunakunywa pombe Kama ishara ya kuikumbuka damu ya yesu.
 
Wakatoriki mpaka leo tunakunywa pombe Kama ishara ya kuikumbuka damu ya yesu.
Na uzinzi je sio dhambi? Na kwa nini umtaje Mungu? Kwani Mungu ndie kakuongoza kwenye mafanikio ya uzinzi na pombe?
 
Huyu n yule mdogo ake mama j au?
 
Childish
 
Asiwe anakunywa sasa kwa mwanamke aibu ina raha yake asee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…