Changamoto na matangazo ya mitandaoni

Changamoto na matangazo ya mitandaoni

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
1,531
Reaction score
2,140
Inakuwaje au unajisikiaje unapolipia tangazo alafu watu wanabofya bofya tu ila hawana nia ya kununua bidhaa zako mtu anaulizia singsung s23 shingapi unampa bei anapotea hata kurudiaha jibu hapana yaani unaweza kupokea message hata 20 halafu majamaa ukiyajibu yanakaa kimya hakuna kurudiaha jibu.

Hii changamoto mnaikabirije mara mia usibinyeze tangazo ukiwa huna nia ya kukununua bidhaa za mtu, sababu bei na maelezo yanakuwaga pale kwenye tangazo ukiona hau afford si vyema kubonyeza unapoteza fedha za watu.
 
Tuvumilie tu jamani, tunaulizia ili tukatafute pesa tuje kununua
 
Inakuwaje au unajisikiaje unapokipia tangazo alafu watu wanabofya bofya tu ila hawana nia ya kununua bidhaa zako mtu anaulizia singsung s23 shingapi unampa beio anapotea hata kurudiaha jibu hapana yaani unaweza kupokea message hata 20 halafu majamaa ukiyajibu yanakaa kimya hakuna kurudiaha jibu.

Hii changamoto mnaikabirije mara mia usibinyeze tangazo ukiwa huna nia ya kukununua bidhaa za mtu, sababu bei na maelezo yanakuwaga pale kwenye tangazo ukiona hau afford si vyema kubonyeza unapoteza fedha za watu.
Endelea tu kupush kwa maana njia moja wapo ya kupima kama tangazo lako linamvuto kwa maana mtu akiliona anaweza kuvutiwa na kubonyeza kitufe ni hiyo.

Namna ya kukabiliana na hilo tatizo ni kuendelea kufanya research juu ya products unazouza pamoja na price yake then uangalie watu ambao umewalenga ndio uwapelekee hilo tangazo.

Lakini pia unatakiwa ujue kwamba lengo mama la social media sio kuuza na kununua bidhaa ila ni kusocial so watu wengi wanapoingia huko huwa akilini mwao hawawazi maswala ya kununua kitu bali wanaingia ili wasocial but for brand awareness huko ndio kwenyewe.

Kwa hiyo mtu anaweza asinunue Leo ila kwakua brand yako huwa anaiona mara kwa mara siku akiwa na shida ya hiyo bidhaa au akiwa na rafiki yake ambae anahitaji hiyo bidhaa basi itakua rahisi kumrecommend kwako.

So, tengeneza cycle kwenye social media lakini pia jitahidi pale google ndio uweke nguvu nyingi kwa maana watu wengi wanapojiwa na wazo la kununua kitu chochote online huwa kitu cha kwanza kinachowajia akilini mwao ni kwenda kugoogle kwanza kabla ya kwenda kwenye hizo social media.

Kwahiyo for me, kwa hizi online businesses, google is equal to money and social media is equal to brand awareness.
 
Bora wewe umeonge embu fafanua hiyo ya google
 
Nenda kaGoogle mkuu kwa kuandika hii keywords "how to run Google ads", nadhani utajifunza zaidi huko.

Lakini pia nikushauri kwamba ukitaka uifaidi njia hii jitahidi uwe na kaonline shop Kako.

Hii itasaidia kuongeza uaminifu kwa wateja kwamba wataona huyu ni mtu genuine coz ako na shop na namba zake ziko pale, pamoja na location.

Lakini pia itasaidia kwenye kutengeneza cycle yenye tija, kwa maana shop yako itakua kama ndio point ya mwisho kwa watu wanaotokea kwenye maeneo yote ambayo wewe unapeleka matangazo.

Kwahiyo watu from Instagram or Facebook or x na google wote wakibonyeza kwenye tangazo wanaenda moja kwa moja kwenye shop yako na huko wataenda kukutana na bidhaa zingine mbalimbali zilizopo kwenye bei tofauti tofauti.

Na ili uweze kupata matokeo zaidi basi unahakikisha unaweka contents ambazo zimeandikwa kwenye mtiririko ambao unazingatia keywords, hii itasaidia kuoptimize shop yako kwenye Google search engine.

Na kufanya uweze kukaa pale juu kwahiyo wateja wengi serious watakua wanaangukia kwako.

But remember, good things need time.
 
Pia mifumo yenu ya usafirishaji ni ya ubabaishaji; ni rahisi kuagiza bidhaa hata remote control toka China ikafika Bukoba, Ila si bidhaa kutoka Daslam.
Mnapenda Tu kujinadi kuwa 'TUNATUMA MIKOA YOTE KWA UAMINIFU MKUBWA", Ila kwenye utekelezaji ni ishu.
Kingine wateja hatuna uhakika kwa kuwa masoko mengi ya mitandaoni hayana Escrow kwa usalama wa fedha za mteja.
 
Ukisponsor tangazo mtandaoni. Jibu maoni yte.
Ukipost tangazo. Jibu kila kitu. Utaona faida.
Ndio maana kuna social media managers. Jamaa unawaona kama wachawi kukuza account yako au engagement. Jamaa wanajibu hata dash.
Tangazo halina bei, halina maelekezo yanayojitosheleza, n.k; yaani lipo kihuinihuni tu.
Tunaclick mara kibao ili angalau kama tuatapata yunachotafuta; ni kama kuku wa kienyeji vile
 
Inakuwaje au unajisikiaje unapolipia tangazo alafu watu wanabofya bofya tu ila hawana nia ya kununua bidhaa zako mtu anaulizia singsung s23 shingapi unampa bei anapotea hata kurudiaha jibu hapana yaani unaweza kupokea message hata 20 halafu majamaa ukiyajibu yanakaa kimya hakuna kurudiaha jibu.

Hii changamoto mnaikabirije mara mia usibinyeze tangazo ukiwa huna nia ya kukununua bidhaa za mtu, sababu bei na maelezo yanakuwaga pale kwenye tangazo ukiona hau afford si vyema kubonyeza unapoteza fedha za watu.
Hii ndo tz, ukweli nikuwa hatuna hela na tunatamaa ndomaana hata hivyo kama hela ingekuwepo tungenunua mkuu
 
Huwa natembelea kule jiji.co.tz naishia kucheka tu.
Karne ya 21 mall inasisitiza mteja asilipeie bidhaa kama hajaiona na kuikagua; mteja akutane na muuzaji ana kwa ana
 
Hao ndo potential clients na wameona Tangazo lako kwa sababu Ya kitu kinaitwa Social Media Algorithms au cookies

Mfano wewe unauza Simu kwahyo mtu anaye Search sana simu kwenye Social media au bidhaa zinazoendana na simu ndo anapata uwezekano mkubwa wa kuona Tangazo lako yani mtu anaye search nguo basi mara nyingi anakutana na matangazo ya nguo,anaye search furniture basi anakutana na matangazo ya furniture hiyo ndo Algorithms ya social media kwenye upande wa matangazo

Hivyo basi hao wateja wanaokucheki kupitia tangazo lako wanaweza wasinunue leo wakaja kununua wiki ijayo au mwezi ujao
 
Back
Top Bottom