Uza bidhaa original.singsung s23
Tuvumilie tu jamani, tunaulizia ili tukatafute pesa tuje kununuaInakuwaje au unajisikiaje unapolipia tangazo alafu watu wanabofya bofya tu ila hawana nia ya kununua bidhaa zako mtu anaulizia singsung s23 shingapi unampa bei anapotea hata kurudiaha jibu hapana yaani unaweza kupokea message hata 20 halafu majamaa ukiyajibu yanakaa kimya hakuna kurudiaha jibu.
Hii changamoto mnaikabirije mara mia usibinyeze tangazo ukiwa huna nia ya kukununua bidhaa za mtu, sababu bei na maelezo yanakuwaga pale kwenye tangazo ukiona hau afford si vyema kubonyeza unapoteza fedha za watu.
Tafuta utanikuta simu haziishi dukaniTuvumilie tu jamani, tunaulizia ili tukatafute pesa tuje kununua
Kwa hasira hizi hayaTafuta utanikuta simu haziishi dukani
Endelea tu kupush kwa maana njia moja wapo ya kupima kama tangazo lako linamvuto kwa maana mtu akiliona anaweza kuvutiwa na kubonyeza kitufe ni hiyo.Inakuwaje au unajisikiaje unapokipia tangazo alafu watu wanabofya bofya tu ila hawana nia ya kununua bidhaa zako mtu anaulizia singsung s23 shingapi unampa beio anapotea hata kurudiaha jibu hapana yaani unaweza kupokea message hata 20 halafu majamaa ukiyajibu yanakaa kimya hakuna kurudiaha jibu.
Hii changamoto mnaikabirije mara mia usibinyeze tangazo ukiwa huna nia ya kukununua bidhaa za mtu, sababu bei na maelezo yanakuwaga pale kwenye tangazo ukiona hau afford si vyema kubonyeza unapoteza fedha za watu.
Bora wewe umeonge embu fafanua hiyo ya googleEndelea tu kupush kwa maana njia moja wapo ya kupima kama tangazo lako linamvuto kwa maana mtu akiliona anaweza kuvutiwa na kubonyeza kitufe ni hiyo.
Namna ya kukabiliana na hilo tatizo ni kuendelea kufanya research juu ya products unazouza pamoja na price yake then uangalie watu ambao umewalenga ndio uwapelekee hilo tangazo.
Lakini pia unatakiwa ujue kwamba lengo mama la social media sio kuuza na kununua bidhaa ila ni kusocial so watu wengi wanapoingia huko huwa akilini mwao hawawazi maswala ya kununua kitu bali wanaingia ili wasocial but for brand awareness huko ndio kwenyewe.
Kwa hiyo mtu anaweza asinunue Leo ila kwakua brand yako huwa anaiona mara kwa mara siku akiwa na shida ya hiyo bidhaa au akiwa na rafiki yake ambae anahitaji hiyo bidhaa basi itakua rahisi kumrecommend kwako.
So, tengeneza cycle kwenye social media lakini pia jitahidi pale google ndio uweke nguvu nyingi kwa maana watu wengi wanapojiwa na wazo la kununua kitu chochote online huwa kitu cha kwanza kinachowajia akilini mwao ni kwenda kugoogle kwanza kabla ya kwenda kwenye hizo social media.
Kwahiyo for me, kwa hizi online businesses, google is equal to money and social media is equal to brand awareness.
Tangazo halina bei, halina maelekezo yanayojitosheleza, n.k; yaani lipo kihuinihuni tu.Ukisponsor tangazo mtandaoni. Jibu maoni yte.
Ukipost tangazo. Jibu kila kitu. Utaona faida.
Ndio maana kuna social media managers. Jamaa unawaona kama wachawi kukuza account yako au engagement. Jamaa wanajibu hata dash.
Hii ndo tz, ukweli nikuwa hatuna hela na tunatamaa ndomaana hata hivyo kama hela ingekuwepo tungenunua mkuuInakuwaje au unajisikiaje unapolipia tangazo alafu watu wanabofya bofya tu ila hawana nia ya kununua bidhaa zako mtu anaulizia singsung s23 shingapi unampa bei anapotea hata kurudiaha jibu hapana yaani unaweza kupokea message hata 20 halafu majamaa ukiyajibu yanakaa kimya hakuna kurudiaha jibu.
Hii changamoto mnaikabirije mara mia usibinyeze tangazo ukiwa huna nia ya kukununua bidhaa za mtu, sababu bei na maelezo yanakuwaga pale kwenye tangazo ukiona hau afford si vyema kubonyeza unapoteza fedha za watu.