Udochi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 787
- 1,056
Habari zenu wakuu.
Niende kwenye mada kabisa.
Kuna ndugu yangu yeye ni mjasiriamali anaishi Dar es Salaam
Katika pilika za maisha kakutana na binti wa Kindengereko kutoka Rufiji ila naye anaishi Dar.
Jamaa amevutiwa na binti kwa mwonekano wa nje kama vile mavazi ya binti ni ya heshima na kujisitiri sana,
Kutii yale anayomwelekeza na lugha nzuri katika mazungumzo.
Wamefahamiana kwa miezi miwili,
Na ndugu kapata fikra za kumtambulisha binti kwao
Naye kwenda kutambulishwa kwa binti
Ili wakijaaliwa waje waoane.
Lengo la Uzi:
Kwa wenyeji au wanaowafahamu wanawake wa Hii Jamii wataje changamoto zao na ubora wao ili jamaa ajiandae ama kukabiliana au kukubaliana nazo.
Karibuni.