KERO Changamoto na unyonyaji wa wafanyakazi - Jambo Group of Companies, Shinyanga

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ushauri wangu ukipata nafasi uza mzigo wote tena kwa bei ya promotion then toroka na pesa za mauzo kakae kijijini huko anza maisha mapya, wakati mwingine mtaji unaupata kwa namna fulani ya ajabu sana
 
Amesema kwa gharama zake yani hakuna per diem ya safari, umesoma vizuri kk?
Nimesema paragraph inayofuata, lakini nasikia Tabia za hawa Sales People wanatembea na Magari ya Kampuni, kila anapolala anataka alale na Totoz, hajui kuwa hapo alipo Yuko vitani kutafuta maisha, wanajiona wameahapatia.

Nakupa Mfano, Hilo Lori ni kubwa, cabin yake hata godoro au Mto ukiweka unalala, kwa mtu mwenye mazingira magumu ya bosi, Hilo Gari unafanya kinakuwa nyumba, wewe unalipa mitano Tu ya kuoga na kwenda bafuni. Una save pesa nyingi.

Mkienda vijijini mnakula na Vichwa vya elfu kumi kumi huko.

Maswala ya kuja kulia Lia ni utoto
 
Ukimwi nje nje hapo, watoto wa Mtume🤣🤣
 
Sema navyojua mimi kwenye cabin hua anakaa dereva, ata hivyo vichwa sana sana atafaidika dereva labda muwe washkaji. Nimeshangaa tu hadi ushuru na parking alipie salesman wakati ni swala la dereva.
 
hatari sana hao Waarabu wa JAMBO,ni kufira kwa kwenda mbele,yaani nawajua kwa majina mpaka namba zao za simu,na Vyumba vyao ni vya 200,000
Hehehe daah wanatumia rasilimali zetu kuharibi dada zetu kwa kuwarubini Pesaz na huu umaskini wa dada zetu hawachomoi
 
adui wa mtu mweusi ni mtu mweusi mwenyewe.....mmiliki wa kiwanda cha jambo hana tatizo ,tatizo lipo kwa hao watu weusi waliopewa mamlaka ya kuwasimamia watu weusi wenzao.....
 

Hupati hii kazi bila kuweka dhammana ya hatu ya Nyumba.
 
Ushauri wangu ukipata nafasi uza mzigo wote tena kwa bei ya promotion then toroka na pesa za mauzo kakae kijijini huko anza maisha mapya, wakati mwingine mtaji unaupata kwa namna fulani ya ajabu sana

Hapo atakuwa ameuza nyumba yake/ndugu aliyoweka dhamana. Hawa sales wanapaswa kuweka dhamana ya nyumbani ili wapate kazi.
 
Tatizo hili, lipo kwenye viwanda vingi na makampuni mengi nchi hii.

Mamlaka za kusimamia maslahi ya wafanyakazi nchi hii ni butu kwa makampuni haya sababu, makampuni haya ni ya wanaCCM au ya wafadhili wa CCM, hata ukienda CMA, hawana cha kuwafanya.

Hao jambo kuna kipindi halmashauri walikuwa wanaidai ushuru wa zaidi ya miaka mi5, kila wakienda ofisini, manaishia kuonana na Masekretari tu. Hatimaye yule MD alihamishwa.

Kama watanzania wote kwa ujumla tusiopotambua kuwa matatizo yanamkumba kila mtu kwenye kila sehemu, root cause ni Kuhodhiwa kwa ccm na wafanyabiashara kiasi cha kufanya mifumo ya haki na taasisi za kiusimamizi kushindwa kuwa na sauti, tutaendelea kulia kila siku. Poleni sana watu wa hapo Ibadakuli.
 
Si wanajua vijana wanaotafuta kazi ni wengi?
ila hii ni mbaya sana kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…