Changamoto nilizokutana nazo jimboni

Changamoto nilizokutana nazo jimboni

samahani wandugu, hivi watu kaama, mwanakijij ni mwansiasa?, companero, de novo, luteni nk. wako wapi? ................... hivi wameshindwa kukomemnti chochote hata kwa mwanasiasa huyu aliyejileta live........... kasema sera zake na alichofanya huko na alichokutana nacho................... halafu wanajidai kuleta makala ndefu za kisisasa ... eti wanachambua siasa, kwani hii si siasa.????????????///// kila siku mnaponda CCM kwani huyu si mwansiasa toka CCM???? nimegundua hapa hakuna hoja ya maana watu wanpulizia tu kwa ushabuki..................

nahisi hapa JF kuna wababaishaji na mashabiki tu. kama haya yangeandikwa na mwanakijiji ungeona mathanks meeeeengi, na michango kedekede............... juzi mwankijiji kasema ni CCJ yeye anaita sisijuu............... watu acha wamquote, na mathanks juuu!!!!!!!!!!!..............

kweli hapa akija great thinker wa kweli atakatishwa tamaa kabisa.............. tukiendelea hivi JF itaendelea kudharauliwa, magreat thinkers wanachangia kwa ushabiki????? very sad!!!!!!!!!!!.....................
 
Ndio yaleee ya Prof J ahadi tele tele kabla ya kuanza (gia namba moja) lakini ukishafanikiwa huonekani.

Ni wachache ambao hutimizia ahadi zao.

Hivi lakini kwa nini munapenda kukandia wenzenu wakati wa kugombea kwa kusema kwamba hakufanya kitu, hakuna maendeleo n.k. Sasa hiyo ilani ya uchaguzi munayosema inatekelezwa huwa inatekelezwa na akina nani?
 
habari za siku nyingi ndugu wanaJF

nimefanya safari nyingi sana ndani ya jimbo langu la uchaguzi ninalodhamiria kugombea na paoja na mambo mengine nilitangaza rasmi dhamira yangu hiyo. katika safari hizo nilijionea mengi sana yanayoashiria kuwa bado tuna kazi kubwa mbele yetu katika kufikia maendeleo ya kweli na endelevu. moja ya changamoto za wazi ni pamoja na:
1. Umasikini
2. Mipango mibovu ya maendeleo
3. Ushiki duni wa wanachi
4. Kukata tama
5. Ukosefu wa fursa zana na mitaji ya kifedha
6. Uharibifu wa mazingira
7. Magonjwa
8. Nk.
Nafurahi kusema kuwa niliungwa mkono na wananchi kwa kasi cha kunipa UhakIka wa kuibuka mshindi katka uchaguzi wa bunge licha ya mbunge wa sasa naye kutangaza azma ya kutetea kiti chake. Bila kuficha, hali ya mambo ilivyo huko jimboni, ni wazi hakuna anyeweza kunipinga na kunishinda. Kwa upande wangu nimekwishaanzisha ushirikiano na wanachi katika kukabili changamoto mbalimbali za kujiletea maendeleo kama:
1. Kuanzisha mifuko midogomidogo vijijini itakayotoa mikpo kwa vikundi vya vijana na wanawake
2. Kuanzisha miradi ya maji vijijini kwa kuchinba visima vifupi na virefu vinavyotumia vifaa vya upepo na umemejua
3. Kudhamini mikopo ya baiskeli kwa vijana wajasiriamali
4. Kuanzisha vikundi vya ushirika wa kilimo, ufugaji na viwanda vidogovidogo
5. Nk.
Mipango yote hii iko katika hatua balimbali za maandalizi na mingine tayari imeanza kutekelezwa.
Hakua lisilowezekana, Licha ya sheria mpya ya gharama za uchaguzi a kanuni zake kutoeleweka vizuri kwa wengi, sisi tumeanza kupiga hatua kwa uangalifu mkubwa na bila kuvunja sheria mpya, wakati tukisubiri chama kizindue rasmi mchakato tuakamalize kazi.

nitafurahi pia kama nitapata michango ya mawazo ya nini cha kufanya au kuboresha zaidi kule jimboni kwa manufaa ya wananchi na taifa letu kwa ujumla.

Bado kidogo tu, ushindi ni dhahiri
KIDUMU CHAMA CHA MAPIMDUZI

Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Anapima mambo ili aone gia ya kuingilia na kuona kama kweli atapata kura basi aseme jina lako nani na yeye Jimbo gani
 
Ndio yaleee ya Prof J ahadi tele tele kabla ya kuanza (gia namba moja) lakini ukishafanikiwa huonekani.

Ni wachache ambao hutimizia ahadi zao.

Hivi lakini kwa nini munapenda kukandia wenzenu wakati wa kugombea kwa kusema kwamba hakufanya kitu, hakuna maendeleo n.k. Sasa hiyo ilani ya uchaguzi munayosema inatekelezwa huwa inatekelezwa na akina nani?

Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Anapima mambo ili aone gia ya kuingilia na kuona kama kweli atapata kura basi aseme jina lako nani na yeye Jimbo gani

Umejiandaaje kukabiliana nazo changamoto hizo?

mmmhhhh................ grat thinkers at work!!!!!!!!!!................
 
Mgombea kuna jimbo kule Kunyumba lipo nyuma sana nami ninampango wa kuliboresha kimaendeleo nadhani nitawafanyia makubwa kama watanichagua.Kazi njema mkuu.
 
Isije kuwa nawe msaka tonge kwa kivuli cha kuwarubuni hao wana wa nchi hii kuwa ati utawaletea maendeleo! BTW nini sources za hizo funds unazotaka kutumia kuanzisha baadhi ya hizo projects ulizo mention?
 
Bila kuficha, hali ya mambo ilivyo huko jimboni, ni wazi hakuna anyeweza kunipinga na kunishinda. Kwa upande wangu nimekwishaanzisha ushirikiano na wanachi katika kukabili changamoto mbalimbali za kujiletea maendeleo kama:
1. Kuanzisha mifuko midogomidogo vijijini itakayotoa mikpo kwa vikundi vya vijana na wanawake
2. Kuanzisha miradi ya maji vijijini kwa kuchinba visima vifupi na virefu vinavyotumia vifaa vya upepo na umeme-jua
3. Kudhamini mikopo ya baiskeli kwa vijana wajasiriamali
4. Kuanzisha vikundi vya ushirika wa kilimo, ufugaji na viwanda vidogovidogo
5. Nk.

KIDUMU CHAMA CHA MAPIMDUZI

Nani aliyegharamia hiyo miradi uliyoanzisha, na atalipwaje?
 
samahani wandugu, hivi watu kaama, mwanakijij ni mwansiasa?, companero, de novo, luteni nk. wako wapi? ................... hivi wameshindwa kukomemnti chochote hata kwa mwanasiasa huyu aliyejileta live........... kasema sera zake na alichofanya huko na alichokutana nacho................... halafu wanajidai kuleta makala ndefu za kisisasa ... eti wanachambua siasa, kwani hii si siasa.????????????///// kila siku mnaponda CCM kwani huyu si mwansiasa toka CCM???? nimegundua hapa hakuna hoja ya maana watu wanpulizia tu kwa ushabuki..................

nahisi hapa JF kuna wababaishaji na mashabiki tu. kama haya yangeandikwa na mwanakijiji ungeona mathanks meeeeengi, na michango kedekede............... juzi mwankijiji kasema ni CCJ yeye anaita sisijuu............... watu acha wamquote, na mathanks juuu!!!!!!!!!!!..............

kweli hapa akija great thinker wa kweli atakatishwa tamaa kabisa.............. tukiendelea hivi JF itaendelea kudharauliwa, magreat thinkers wanachangia kwa ushabiki????? very sad!!!!!!!!!!!.....................

Kwa wakati huu nitafanya makosa kumkosoa mtu au kuunga mkono anayekusudia kugombea kwani kutangaza nia tu haitoshi kumfanya mtu kuwa mgombea. Wakisha pitishwa na vyama vyao basi nitakuwa na lakusema. Kwa hiyo usiwe na shaka wakati utakapofika binafsi nitawaunga mkono nitakaowaunga mkono na nitawapinga nitakaowapinga bila kupepesa macho.
 
...........Mgombea mbunge wala usitaje jina lako kwa sasa, ukitaja jina lako utashambuliwa wewe hadi utajutaaaaa. Kuna mtu hapa alijitaja jina hadi jimbo.......walimshambulia kweli kweli hadi nilimuonea huruma.
Hivyo fanya vitu vyako huko huko jimboni kwako, kama ukishinda may be ndio unaweza kujitaja ila mie sioni umuhimu wa kujitaja. Hapa JF wala haupo peke yako unaogombea ubunge, wapo wengi tu wanagombea mwaka huu na wala hawakuja hapa na kujiweka wazi..........kila la heri.
 
Hili jimbo la wasanii kweli, kuanzia mbunge hadi watoto waliozaliwa jimboni kwa huyu mbunge anaependa viti vya bunge kwa kutaka kuwafanyia watu makuu ya namna hiyo ili hali nae anawaza kuwasomesha wajukuu nje ya jimbo lake au nje ya nchi.

Nakushauri uendelee kudumisha sera za chama chako ila sio kudumisha chama kama ilivyo motto wenu wa siku zote na Mungu akusaidie siku moja utapike maovu ya chama chako na hutarudia kula matapishi.

Kama wananchi wako wanakupenda hata ukiwa mgombea binafsi watakupa tu kura na utakula kama kawaida.
 
Kwanza nikutakie kila la kheri katika dhamira yako pia nikupongeze kwa ziara nyingi ulizofanya kwenu, kadhalika kwa utambuzi wa changa moto zilizopo na pengine zimekuwepo muda mrefu na hatua unazochukua sasa eti kwa sababu unataka kugombea ubunge inasikitisha sana.

Kwa maelezo yako nafasi yako kifedha ni nzuri kama unaweza kuwawekea dhamana wapiga kura wako wote wanaotaka baiskeli, kuchimba visima virefu na vifupi kuanzisha mfuko wa kukopeshana n.k. hata hivyo wewe si wa kwanza wengi wamekuja kwa staili hiyohiyo kwamba una huruma sana na maendeleo yao unawasaidia, huo si mwanzo mzuri na kamwe hautakua kiongozi mzuri.

Ushauri wa bure kwanza jifunze na utambue kazi za Mbunge ni zipi na sifa zipi za ziada unatakiwa uwe nazo mbali na masharti ya kisheria. Watanzania leo hawadanganyiki.
 
Kwa wakati huu nitafanya makosa kumkosoa mtu au kuunga mkono anayekusudia kugombea kwani kutangaza nia tu haitoshi kumfanya mtu kuwa mgombea. Wakisha pitishwa na vyama vyao basi nitakuwa na lakusema. Kwa hiyo usiwe na shaka wakati utakapofika binafsi nitawaunga mkono nitakaowaunga mkono na nitawapinga nitakaowapinga bila kupepesa macho.

asante mkuu kwa ufafanuzi........................ nyie ndio magwiji wa siasa ........... sasa mwenzenu nilikuwa nakodoa macho tu nione mtakavyomchambua huyu jamaa aliyeamua kufa na kuzikana na CCM............... nilipona kimya nikaamua niwachokoze kidogo...........

hata mim naona sehemu kubwa ya hayo akiyofanya ni hekaya tu............ anyway, tungoje kama ulivyosema wateuliwe labda watakuja kiuwazi zaidi na kwa ushindani zaidi.................
 
...........Mgombea mbunge wala usitaje jina lako kwa sasa, ukitaja jina lako utashambuliwa wewe hadi utajutaaaaa. Kuna mtu hapa alijitaja jina hadi jimbo.......walimshambulia kweli kweli hadi nilimuonea huruma.
Hivyo fanya vitu vyako huko huko jimboni kwako, kama ukishinda may be ndio unaweza kujitaja ila mie sioni umuhimu wa kujitaja. Hapa JF wala haupo peke yako unaogombea ubunge, wapo wengi tu wanagombea mwaka huu na wala hawakuja hapa na kujiweka wazi..........kila la heri.

Pretty, Katika hili mimi natofautiana na wewe kidogo, Ubunge si mradi wa mtu na wala si kwa manufaa ya mtu mmoja, ni Jimbo zima, katika zama hizi tunazosisitiza ukweli na uwazi , kujitaja hakuondoa uadilifu wa mtu, kama mtu ni muadilifu atabaki kuwa muadilifu.Mnyika alitangaza na tumempongeza sana, na kumtakia heri, .Natambua kuwa muda wa kampeni bado hata hao walioanza kampeni mapema sio sawa, Lakini Mtu anaruhusiwa kutoa nia!!Na kutoa nia si siri.
 
Back
Top Bottom