Uchumikati
Member
- Dec 8, 2020
- 82
- 97
Hii shule ya Safi (Safi School) iliyopo makabe imekua shule ya hovyo sana kwa sasa kwenye utoaji huduma. Kwanza nikiri kilichonisukuma kuleta huu uzi ni upuuzi wao waliotufanyia wazazi hii January kutopokea watoto ambao hawajalipa ada yote.
Hapa ndio wametukera wazazi, hivi kweli mzazi unalipa laki 5 January hii na wanagoma kumpokea mtoto? Kweli? Halafu tena hapo umewafuata na kuwaomba ada utaongezea mwisho wa mwezi January na bado wanakataa, really?
Huu ni utapeli mkubwa,imagine ni wazazi wangapi wamelipa pesa nusu na bado watoto wamerudishwa the whole of January hawajasoma meanwhile pesa zetu wamepokea zinaendelea kutumika kwenye shughuli zao. Na wanaona kabisa malalamiko ya wazazi kwenye WhatsApp groups ila full madharau. Hii ni fair? Sometimes wakipokea watoto ambao wanadaiwa ada wanaenda kuwafungia TV room siku nzima, hivi hii ni akili kweli?
Hii shule kwa sasa wamekua wabinafsi mno na hawajali kabisa other stakeholders na ndio maana hata ada wanapandisha kiholela sana. Bora huduma yao ingekuwa standard tusingelalamika,ila sasa kwa huduma zao zilivyo za kawaida mnatufanyia wazazi maringo kiasi hiki? Magari mabovu,walimu turnover kubwa kila mara mnaleta wapya,vitabu mnatoa mwisho wa muhula,chakula kibovu watoto hadi wanalalamika kukuta mende na buibui kwenye chakula na bado hatukuamua kuwaexpose ili kuwalinda mu-improve.
Shule kama hizi ndio zinafanya shule za kulipia zionekane mzigo mzito wakati si kweli. Bahati mbaya nimeshindwa kumhamisha mtoto sababu yupo darasa la mtihani, ila next year hamnioni namhamisha mapema sana maana hamna upeo wa kuona value for money,na consideration kwa wazazi ambao ni stakeholders wakubwa. by the way sishauri upeleke mtoto wako hapo.