Jamii yetu kwa ujumla tunajau/tunafikiri changamoto ziko kwa watoto wa mitaani tu ila jibu ni hapana kwani watoto wa majumbani nao kuna changamoto mbalimbali ambazo zinawapeleka kuishi kwenye mazingira magumu. Mfano wazazi/walezi kushindwa kujua wajibu wao wa kuwapa watoto elimu bora, afya bora, lishe kamili na mengineo
Hali hii upelekea mtoto/watoto kukata tamaa ya maisha na wengine kujingiza kwenye maisha hatarishi mfano wizi, utumiaji wa madawa ya kulevya, kuuza miili yao
Serikali na jamii kwa ujumla tunatakiwa tutupie jicho la tatu kwa ajili ya kutatua hizi changamoto kwa watoto wa majumbani kwa kutoka elimu ya malezi bora kwa wazazi/walezi na pia kusaidia wale ambao tayari washajingiza kwenye maisha hatarishi.