Lorenzo spencer
Member
- Aug 7, 2022
- 10
- 6
Habari za saa hizi wana jamvi ,
Nimejisajili na kufungua account ya ajira portal vizuri ila nlikosea kufanya usajili kwenye kipengele cha academic qualification nilikosea kujaza level ya education kwa sasa najaribu kufanya marekebisho kwenye hicho kipengele inakataa haikubali na nmejaribu kuwatafuta wahudumu wa ajira portal hawapokei simu na nimewa email mpaka leo hawajajibu email.
Nimetuma feedback ila sijajibiwa. Kama kuna mtu anaweza kunisaidia kwenye hii changamoto ninayopitia anipatie msaada.