Changamoto ya account yangu ya ajira portal

Joined
Aug 7, 2022
Posts
10
Reaction score
6
Habari za saa hizi wana jamvi ,

Nimejisajili na kufungua account ya ajira portal vizuri ila nlikosea kufanya usajili kwenye kipengele cha academic qualification nilikosea kujaza level ya education kwa sasa najaribu kufanya marekebisho kwenye hicho kipengele inakataa haikubali na nmejaribu kuwatafuta wahudumu wa ajira portal hawapokei simu na nimewa email mpaka leo hawajajibu email.

Nimetuma feedback ila sijajibiwa. Kama kuna mtu anaweza kunisaidia kwenye hii changamoto ninayopitia anipatie msaada.
 
Hata Mimi hii changamoto inanigharimu sana imagine una Bachelor afu ukaamua kusoma postgraduate ya kitu kingine ikitokea Kuna ajira inayohusiana na bachelor yako mfumo unakukataa
 
na hyo changamoto bado hujaweza kuitatua
 
habari za saizi wana jamvi , nimejisasili na kufungua account ya ajira portal vizuri ila nlikosea kufanya usajili kwenye kipengele cha academic qualification nilikoseakujaza level ya education ,kwa sasa najaribu kufanya marekebisho kwenye hicho kipengele inakataa haikubali na nmejaribu kuwatafuta wahudumu wa ajira portal hawapokei simu na nmewa email mpk leo hawajajibu email, nmetuma feedback ila sijajibiwa kama kuna mtu anaweza kunisaidia kwenye hii changamoto ninayopitia anipatie msaada.
Cc: Mbaga Jr
Utawala2025
Leak
Mwifwa
The Lost
 
Wasiliana nao kupitia email zao wanajibu instant
 
Fungua acount nyingine kwa email nyingine
 
Back
Top Bottom