Fahami Matsawili
Senior Member
- Mar 8, 2018
- 172
- 153
Suala la Ajira ni cross culting issuers katika nchi zinazoendelea Kwa sababu Uchumi katika nchi hizi umeshikiliwa na watu wachache siyo Jumuishi wala shirikishi. (Inclusive economy) matokeo yake Uchumi huu umeshindwa kuzalisha Ajira kama ilivyotegemewa na Sayansi ya kuwa (Jobs are created by economy)
Mfano Kuna Sekta ukichekecha kidogo kwa Sera na Mipango unazalisha Ajira Milioni 3 Kwa Mwaka.
1. Sekta ya Sukari, Mafuta ya kula na Ngano
Kwa mwaka kupitia Viwanda yetu vya ndani jumla ya tani 380,000 za sukari zinazalishwa kutoka kwenye viwanda vilivyopo nchini 1. Kilombero Sugar Company Ltd, 2. Mtibwa Sugar Estate, 3. Kagera Sugar Ltd, 4. TPC Ltd 5. Manyara Sugar Ltd na 6. Bagamoyo Sugar.
Kwa soko la Sukari la ndani ya nchi pekee kwa mahitaji ya matumizi ya kawaida na viwandani ni tani 660,000 kwa mwaka.
A) Sekta ya sukari tuna upungufu wa Tani 280,000 Kwa ajili ya soko la ndani pekee
B. Viwanda vya sukari 90% vinalima miwa na kuzalisha Sukari vyenyewe, hivyo hakuna Multiplayers effect ya Kiuchumi
C) Multiplay effect Wananchi walime Miwa na Viwanda vizalishe sukari hapo ndiyo Mabilioni ya pesa kwenye Sekta ya sukari yatasaidia kupunguza Umaskini na kuzalisha ajira, kuliko ilivyo sasa pesa hizo zipo kwenye mzunguko wa wenye Viwanda vya sukari na vibarua wanaolipwa laki moja Kwa mwezi mzima.
D) Halmashauri zetu katika kutekeleza Agizo la Mhe Rais wetu Samia suluhu Hassan la kutaka kila mkoa kutenga maeneo ya Kilimo, Halmashauri zinaweza kutenga Ardhi yenye miundombinu ya umwagiliaji Kwa ajili kuanzisha Kilimo cha (block farming system) Kwa mazao ya kimkakati Miwa, Alzeti na Ngano alafu wanakopeshwa vijana/Wananchi Kwa mkataba wa miaka 3. na kila wakivuna Halmashauri inakata gharama zake.
F) siyo sahihi Sana kutegemea wawekezaji wakubwa waje kulima mashamba makubwa kwenye mazao ya kimkakati ni Muhimu tuwezeshe Wananchi wetu walime mazao ya kimkakati China imefanya hivyo imefanikiwa pakubwa.
2. Sekta ya Ujenzi -Miundombinu - Nyumba, na Mali za Ofisi
Eneo la pili ni Sekta ya ujenzi inayokuwa kwa kasi na moja ya huduma za kimsingi kwa maendeleo na ukuaji wa uchumi wa nchi.
A) Halmashauri zinaweza kuwakopesha Vijana machine za kufyatua Matofali, Machine za Kisasa ni (milioni 5)
B) Serikali inatumia pesa nyingi Kwa ajili ya ujenzi wa Majengo ya Umma Mfano Hospital, madarasa, nyumba za watumishi wa Umma, kazi ya Tamisemi ni kutoa Notes ya Maelekezo Kwa wazabuni wa Majengo ya Umma watakaoshinda Zabuni watalazimika kutumia matofali ya vikundi vya Vijana hawa ndani ya kila Halmashauri.
C) ununuzi wa vifaa vya Samani vitanunuliwa kutoka Kwa mafundi wetu wa furniture ambao ni Vijana.
Faida zake ni nyingi
Moja utafungua Uchumi ambao utazalisha ajira zaidi Kwa Vijana na kupunguza changamoto ya ajira.
Pili utaongeza idadi ya walipa kodi kwenye (taxbase)
Tatu. Utaongeza mzunguko wa pesa na Utachochea nguvu ya manunuzi Kwa Wananchi ambao walikuwa jobless sasa wana kipato kinachowawezesha kununua vitu sokoni, Viwanda vyetu vitachangamka Kwa sababu na jobless wamepata kipato wananunua Nguo, Viatu, saruji, mabati, vyakula, Vinywaji n.k
Nne. Utapunguza panya road mtaani, wapiga debe, Bodaboda hawa watakwenda kusomba mchanga, wengine watakuwa wanafyatua tofali, wengine wanapanga tofali.
Tano. Utakuwa umesaidia kujenga mfumo wa uzalishaji kuwa shirikishi na Jumuishi (inclusive economy) na kuempower vijana wasio na kazi, kuwa Na kazi na kuzuia mfumo wa ma cartel (mabepari) kuhodhi shughuli za Kiuchumi za uzalishaji wao pekee. bali na Wananchi maskini wanashiriki.