Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Habari wadau.
Narudi tena kusisitiza shida za Barabara za Goba kulangwa!
Leo tumenusurika tena kupoteza watoto kumi. Sijui tupige vipi kelele hizi barabara zitengenezwe kwa ubora. Sio kutupitishia magreda! Maana Mvua zikija zinasomba tena!
Nasisitiza tena. 1. Kuna ile njia Goba kulangwa inachepua kushoto kabla ya skymart supermarket kama umetokea njia nne ile njia inayoenda St Yohanne Health center na Victoria Adonai school ile njia ni mbovu sana sana sana na kuna caravat pale halifai lile ndo linasubiri kuua kabisa. Viongozi wanajua na hawajali! Tunaomba ile njia itengenezwe!
2. Kuna hii njia inaingilia hapa deez pub inaenda kutokea makanisa ya catholic na anglikana tegeta A pale napo ni kisanga mto unapita hakuna caravat
3. Kuna ile njia ambayo ukitokea Goba njia nne unaenda kuingilia kwa mbele kidogo kama unaenda madale, ile njia inaelekea tegeta A shule ya msingi ni mbovu hakuna mfano.
Serikali itusikie, kama isipotusikiliza wapiga kura wake nani atafanya?
Na nimetoka kuandika huu uzi kuhusu Goba kulangwa hata siku mbili hazijapita tumenusurika maafa makubwa nusura tupoteze watoto. KERO - Wakazi wa Goba njia ya Tegeta A kwenda Madawa na Kulangwa tuna changamoto kubwa ya Barabara
MAMA SAMIA TUSAIDIE BARABARA ZA GOBA KULANGWA KUREKEBISHWA NA KUWEKEWA CARAVAT. 1. KUNA BARABARA YA KARIBU NA KITUO CHA AFYA CHA ST YOHANNE GOBA KULANGWA KUELEKEA TEGETA A, IMELIKA HAKUNA MFANO, TUNAHITAJI CARAVAT. NA PIA KUTOKEA TEGETA A SHULE YA MSINGI KUELEKEA MAKANISA YA CATHOLIC NA ANGLIKANA TEGETA A kukatisha mtoni pale hakuna Caravat Mama. Tuokoe na watoto wetu! Sijui lami inashindwa vipi kuwekwa zile njia.
TUNAELEKEA KUPOTEZA WATOTO SIJUI TUSEMEJE MTUSIKIE AU MNASUBIRI MAAFA MJE KUSIKITIKA KWENYE MITANDAO.
Na jamii forum naombeni MUACHE kuturekebishia post zetu. Tunajua tunachokiandika tunataka ujumbe ufike kama ulivyo. Kwenye post yangu nilimwita mama samia nyinyi mmekuja kurekebisha mmetoa hiyo point.
GOBA KULANGWA NI JANGA KWA BARABARA NA SIKU SI NYINGI MTASIKIA MAAFA MABAYA ZAIDI
TUNAOMBA MAREKEBISHO MAKUBWA NA CARAVAT. Tumenusurika kupoteza watoto leo kwasababu ya ubinafsi.
Wewe Kindeena na kiherehere chako haya njoo ubishane na hapa.