Changamoto ya kiwanja cha ukubwa wa 20*15 ni ipi?

Changamoto ya kiwanja cha ukubwa wa 20*15 ni ipi?

master of cities

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
429
Reaction score
625
Nimepata kiwanja size ya 20*15 nauliza changamoto ya hv viwanja ni ipi hasa maeneo ya mjini daslam kama Goba, nataka nichukue kimoja , nijenge gheto karbu na mji niwe nawah Mishe zangu mjini, kupanga spendi
 
Kama unatoa kanyumba ka vyumba viwili au kanyumba ka sebule, jiko, store na Chumba kimoja haina shida utakuwa na nafasi ya parking bustani ndogo na ukizungusha fensi patapendeza sana.

Ila usijiloge na ujenzi wa nyumba kubwa hapo. Jenga kakitu kadogo kama haka kwenye picha hapo. [emoji116]
IMG_20221102_092958.jpg
 
Kama unatoa kanyumba ka vyumba viwili au kanyumba ka sebule, jiko, store na Chumba kimoja haina shida utakuwa na nafasi ya parking bustani ndogo na ukizungusha fensi patapendeza sana.

Ila usijiloge na ujenzi wa nyumba kubwa hapo. Jenga kakitu kadogo kama haka kwenye picha hapo. [emoji116]View attachment 2617451
Nafkr hii inakuwa strong Zaid , plot ikinipendeza najenga cha hv hv , nyumba kubwa nitajenga huko nje ya mji kiluvya au kibaha
 
Nimekupata mkuu
Usitazame utambarale tu wa eneo tazama drainage system imekaaje kwenye hilo eneo. Tazama direction ya flow ya maji. Ukiona inaelekea huko kiwanga kilipo basi jua tatizo.

Ukiona kiwanja chako kipo eneo la chini halafu wanaokuzunguka wapo kwa juu then eneo lako lipo bondeni likely maji huwa yanatuama hapo. Tazama na udongo pia utakupa majibu kuhusu tabia ya maji eneo hilo, uzuri huu ni msimu wa mvua so hautapata shida sana kujua tatizo.
 
Back
Top Bottom