Changamoto ya kiwanja cha ukubwa wa 20*15 ni ipi?

Changamoto ya kiwanja cha ukubwa wa 20*15 ni ipi?

Kweli maisha yanakwenda kasi sana,Goba kumekuwa ni town siku hizi [emoji276]?,anyway karibu Singida (Singapore)
 
Kama unatoa kanyumba ka vyumba viwili au kanyumba ka sebule, jiko, store na Chumba kimoja haina shida utakuwa na nafasi ya parking bustani ndogo na ukizungusha fensi patapendeza sana.

Ila usijiloge na ujenzi wa nyumba kubwa hapo. Jenga kakitu kadogo kama haka kwenye picha hapo. [emoji116]View attachment 2617451

Mkuu Zemanda , haka kanyumba kanavutia Sana kwa MTU ambaye anakaa alone bila familia. Ni vyumba vingapi hii? Napenda roof ya kawaida ya bati.
 
Back
Top Bottom