master of cities
JF-Expert Member
- Mar 14, 2015
- 429
- 625
Sawa mkuuKikubwa hiko mkuu chukua, kwani unataka kujenga kiwanda au godown
Kipo Tu hcho , na kikubwa zaidi ni gharama mil 10+ sina mkuuUnganisha viwili
Mita mkuuWanapima kwa mita au miguu?
Kama ni mita kinatosha, kichukueMita mkuu
Ndo naenda kukichek Leo , Kwa nn mkuu nipe tips zake? Au bonde ni Mali ya serikali?hakipo bonding? ukinunua bonden goba umeliwa
kule hakuna miundombinu ya mitato maji mengi hujitafutia Jia bondeniNdo naenda kukichek Leo , Kwa nn mkuu nipe tips zake? Au bonde ni Mali ya serikali?
Nimekupata mkuukule hakuna miundombinu ya mitato maji mengi hujitafutia Jia bondeni
nyumba huend na Maji
usinunue bondeni kwenye mikondo ya maji
Mvua ikinyesha unaweza usilale home. Maji kila sehemu na itaharibu makazi yako.Ndo naenda kukichek Leo , Kwa nn mkuu nipe tips zake? Au bonde ni Mali ya serikali?
Sawa Sawa mkuu nachukua notesMvua ikinyesha unaweza usilale home. Maji kila sehemu na itaharibu makazi yako.
Nafkr hii inakuwa strong Zaid , plot ikinipendeza najenga cha hv hv , nyumba kubwa nitajenga huko nje ya mji kiluvya au kibahaKama unatoa kanyumba ka vyumba viwili au kanyumba ka sebule, jiko, store na Chumba kimoja haina shida utakuwa na nafasi ya parking bustani ndogo na ukizungusha fensi patapendeza sana.
Ila usijiloge na ujenzi wa nyumba kubwa hapo. Jenga kakitu kadogo kama haka kwenye picha hapo. [emoji116]View attachment 2617451
Sawa masterKwa kuanzia kinatosha Ila familia ikikua tafuta eneo kubwa
Usitazame utambarale tu wa eneo tazama drainage system imekaaje kwenye hilo eneo. Tazama direction ya flow ya maji. Ukiona inaelekea huko kiwanga kilipo basi jua tatizo.Nimekupata mkuu
bei gani umeambiwa mkuuNimepata kiwanja size ya 20*15 nauliza changamoto ya hv viwanja ni ipi hasa maeneo ya mjini daslam kama Goba , nataka nichukue kimoja , nijenge gheto karbu na mji niwe nawah Mishe zangu mjini, kupanga spendi