Changamoto ya kuchagua rangi, uzuri, umbo na kimo cha mwanamke

Changamoto ya kuchagua rangi, uzuri, umbo na kimo cha mwanamke

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Niwe mkweli hivi makusudi ya Mungu kutuumba sisi wanaume na ubabaifu wa macho, au ni mimi tu mwenye macho ya Ndoige sieleweki vybez zangu ni zipi white Ndoige, dark Ndoige, nundu Ndoige, mshepu Ndoige, mfupi Ndoige, mrefu Ndoige, mwembamba Ndoige.

Hadi najishangaa huu ujazo wa utajiri wa huyu malaika mtambuka ni kipawa changu mimi tu au.

Naomba mnisaidie Huyu Malaika Mtambuka ninae mimi tu au ni wanaume wote tulisambaziwa upendo wa huyu Malaika Mtambuka?

Kwa hayo machache Korea wanaendelea Kupokea kipigo Ndoige toka Kwa Brazil wana Luposa wana Lunyasi.
 
Tulia angalia mechi mpaka iishe, halafu ndo uandike uzi.
Haya mambo ya kuandika uzi chapchap kwenye half time huwa mnakurupuka sana.

Tulia uandike ueleweke.
 
Hapo kwnyw Ndoige umemaanisha Nini mkuu
 
Back
Top Bottom