Changamoto ya kuona majina ya Sensa kwenye mitandao yetu nini tatizo?

Changamoto ya kuona majina ya Sensa kwenye mitandao yetu nini tatizo?

Hata km jina limetoka jiandae kwa interview. Kuna kata moja yamepita majina 400 lakini wanaotakiwa ni 25 tu. Only the stronger will survive.
 
Hapa mmepigwa na kitu kizito kichwani, naomba fikilia kwa nin majina yatoke kwa local way hapo ndo ujiulize
 
Kwani nbs hawana uwezo wa ku upload kwenye web yao!
 
Mambo ya serikali hayajawahi kua nyoofu hata siku moja...
 
Back
Top Bottom