Changamoto ya kupata mke

Dah pole Mkuu tuko pamoja mi pia kama wewe naumiza kichwa nitampata wapi mke anayenifaa imekuwa ngumu hadi naelekea kukata tamaa nijitafutie mtoto tu make kwa umri huu miaka 30 mambo bado hayasomeki niliweka hadi post love connect kutafuta mke nikataja hadi sifa lakini bado. Duh kichwa kinauma na sitaki kubeba yeyote bora nizae tu.
 
Hii imenigusa hata mimi kwa umri na maisha yangu yako poa,pesa kwangu sio mtihani,kama ni elimu nina Shahada,ajira ya serikali,nina biashara ambazo nimeajiri watu,lakini ni miaka mitatu sasa natafuta mke sipati,naona wanawake wote wajasilia mwili,ni ngumu sana kupata mke hasa kwa sisi wakazi wa Dar es Salaam
 

No short cut way dear. Spend more time with God to Grant your Holy heart desire . Do Fasting and and prayers .. Thanks ...
 
Si peke yako mkuu.mabinti wamekuwa UNOLEWEKABLE kabisa.
 
Nyie wenye kiasi cha mboga na kazi ya uhakika sanyingine mnajua na maringo flani hivi
ni kweri ila mm si mmoja wao 7bu nshavuta jiko ila chagua chagua sana mwishowe huchagua koloma
ka yaliyonikuta mm
coz hutatakaje mwanamke mwema mwenye tabia nzuri wakati wewe mwenyewe tabia zko mbaya na zaidi unazidi kuwaalibu mabintiwa watu tena wengine wanawafumua malinda bila HURUMA !!
nawe binti eti nataka MUME MWEMA kutwa kucha KUBINUA MAKARIO insta na FB na fake life yako ya kuigaiga kazi kuwapanga wanaume
mtu anakupenda anataka kukuoa na kuaza kukuhudumia kumbe wewe una mfanya mladi tu una mpango nae ETI una msubili HANDSOME BOY mwenye mpunga mwingi kama mimi Mzimu wa kolelo !! utanipata wapi mm wakati hata hujui hzo pesa nimezichuma kwa njia gani

ni kioja 7bu MWENYEZIMUNGU awezi kukupa MJAWAKE mwema kwa wewe mshezi wa tabia
DHULUMATI
MUONGO
TAPERI
MPIGA DIRI
MLEVI
MZINIFU nk

badilika kwanza nafsini ama sivyo mwisho utayachoka hayo maisha utaishia kwa NAZI KOLOMA mwenzio
 
Mleta mada nakuelewa sanaa.

Msingi ni kuachilia mambo yaje naturally na umuombe sana Mungu. Hata ikatokea ukapata mwanamke mrembo...hakikisha ana busara na uvumilivu sanaa. Kama hana spirit ya uhangaikaji, familia yao ni low class yet anapendeza daily achana nae utakuja mwaga kilio.
 
Upo sawia

Ukitaka mwema hakikisha nawe ni mwema
 


Funga na kuomba walau mara mbili kwa wiki, pata mwanamke wa imani moja nawe, unaye mzidi kila kitu; elimu, kipato, umri, ingawaje gap lisiwe kubwa sana. Akiwa kabila moja nawe itakuwa njema zaidi.
 
kupata gentleman ni shida sana, ni wavaa hereni, kushinda kwenye tv na tegemezi kizazi hiki ni jipu kihamishiwe somalia
 
Hata mimi nimeamua hivyo tu.
 
ee mwenyez mungu nijaalie mumemwema!insahaalah╮(╯_╰)╭☜
 
Hata hao single moms bado wanastahili kuolewa. Kuwa kwao na mtoto isiwe kigezo cha kukwepwa. Wako wanaojielewa na kuwa na mtoto kwa ilitokea isivyotarajiwa.
 
Wanawake wengi wanaotaka kuolewa hupenda kuhudhuria harusi na mara nyingi kusjona sare. Ukiwa makini unaweza kuwafuatilia na kujua background zao na baadae ukiridhiki kuoana.

isije kuwa wanapenda kupendeza tu na tukio la harusi...

maana ndoa na harusi siku moja tu baada ya hapo maisha rasmi yanaanza
 
Njoo kwangu nami natafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…