Changamoto ya kupata mke

Bora aisee, maana wakaati mwingine huwa mkicharuana mmoja anamkubusha mwenzake,"hivi unakumbuka mimi na wewe tulivyokutana,unakumbuka siku yetu ya kwanza kuonana ilikuwaje?"basi mnaacha ugomvi nakuanza kufurahi tena.Wacha fumbo liendelee!
Ha haa basi hata mie naunga mkono fumbo hili liendelee tu maana hakuna namna
 
Apataye mke apata kitu chema. Mke mwema hutoka kwa Bwana Mungu. Piga sala, mshirikishe

Mungu. Tafuta mcha Mungu wa ukweli hautajuta.
 
Viburi ,kujitukuza , kutaka kuabudiwa na kutokuamini kama mmependwa nyie na sio mali zenu , kuwa wachaguzi mno maana mnaamini kuwa pesa na hali zenu mnaweza kuwin mwanamke yeyote .Hao mlio waajiri ni opposite na nyie katika haya niliyoandika 🙂 😉 mawazo tuu
 
Kabla hujasema unapata shida kupata mke mwema je wewe ni mume mwema?
Haiwezekani use mlevi labda au mzinifu.unashinda mabaa kila siku kutegemea kupata mwanamke wa standard tofauti na maeneo unayoshinda.
Utamuonaje kwanza.
 
gwankaja mkuu, siye waarabu hutafutaga nyumba ya kuoa kwanza (ukoo fulani) kwanza.. pili ndo binti!! Maana ukielewa familia ndo utamwelewa mke!!
Wee kama mwisilamu nenda kwa imamu au shehe umuulize nyumba iliyotulia hapo mtaani!!
na kama wee mkristo nenda kanisani utaweza Discover gold au Mgodi wakujitwika !! good luck
 
duuuu kazi ipoooo...ndo maana biashara ya ukahaba inaongezeka..Nani atafikiria ndoaaa kwa mambo haya ya wadada!!
 
Titizo ni pasepshen za wadada zetu ndo Zinatufanya tupate changamoto ya kuoa. Wanataka uwe na gari, nyumba af muwe mnaishi maisha flan ya kwenye TV
 
Hivi kwani kuishi na furaha ni lazima kuoa? kabla ya kufanya maamauzi ya kuoa ni vema ukafikiriaa haya, pengine ndoa yaweza kuwa kikwazo ktk maisha yako ya kila siku.
unadhan furaha inatoka wap km huna mke? ama kweli we ibilis jmn au ukifanikiwa mwisho wa siku unataka ukatumie wap ebu shaur watu vzur acha upopo na hii iwe ww binafsi lkn mtu anataka mke huyo jamaaa
 
unadhan furaha inatoka wap km huna mke? ama kweli we ibilis jmn au ukifanikiwa mwisho wa siku unataka ukatumie wap ebu shaur watu vzur acha upopo na hii iwe ww binafsi lkn mtu anataka mke huyo jamaaa
sio kila ndoa bi furaha ndoa nyingine unataman kujinyongaaa.

Maisha ya furaha ni muhimu zaid hapa dunian euther ya ndoa au bachelor
 
A u serious?! Unajua tatizo lako nn? Unatumia akili yako bila kumshirikisha Mungu trust me utaishia kuumia! Hebu Mwambie Mungu uone km hutapata
 
Muombe mungu saana
Hakuna mahali special kupata mke bora.
Mungu hachelewi wala kuwahi.
Jiganye kuwa mume bora nae mke mwema ayajitokeza soob
 
Kabla hujasema unapata shida kupata mke mwema je wewe ni mume mwema?
Haiwezekani use mlevi labda au mzinifu.unashinda mabaa kila siku kutegemea kupata mwanamke wa standard tofauti na maeneo unayoshinda.
Utamuonaje kwanza.

Mmmh, hili nalo neno,!! Mtu maeneo yako bar, vijiweni huko nk.. Useme unataka mke mwema? No! Mi ndo nakukimbiza kabisa
 
Titizo ni pasepshen za wadada zetu ndo Zinatufanya tupate changamoto ya kuoa. Wanataka uwe na gari, nyumba af muwe mnaishi maisha flan ya kwenye TV

Ndugu, tumewavumilia wasiokuwa na kitu kwa upendo baada ya kupata wametuona hatufai! So don't generalize.... Ht wanaume wapo wsiosomeka km wanawake! Bt God is faithful Kuna wanaojielewa bado wenye hofu ya Mungu na wenye mapenz ya kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…