Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Koh koh nina mafua mwenzio... Hebu nipe poleWewe ulishampata mume?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Koh koh nina mafua mwenzio... Hebu nipe poleWewe ulishampata mume?
teh! teh! teh!!....... Nilikuwa na mpango wa kujitoa JF wala sina mpango huo tena, yaani JF ni rahaaa tupu!!Koh koh nina mafua mwenzio... Hebu nipe pole
Nakubaliana na wewe, but naomba tu kutoa ushauri kwamba, isije ikatokea hata siku moja kujiona upo salama kwa sababu umekutana na mtu in Godly places (kanisani, kazini, party etc). Siku hizi kila mtu akitaka kuoa/kuolewa ndo tunajazana kanisani, mtu wa hivi akishapata ndoa, usishangae na kuja kanisani akaacha kabisa. She/he was there kutafuta tu ndoa na sio kuabudu, so ndoa ashaipata aendelee kuja kufanyaje? Na kuna watu ukimkuta mchana kanisani anavyobubujika, hutoamini kuwa huyu huyu mtu ndo anatoa ndugu zake kafara ili afanikiwe etckuna baadhi ya sehemu unaeza kutana na mtu ukajihisi ni salama kidogo, ...
He hee kilichokughairisha?teh! teh! teh!!....... Nilikuwa na mpango wa kujitoa JF wala sina mpango huo tena, yaani JF ni rahaaa tupu!!
aisee mepia nina 29 ila kama wwe changamoto aiseeDuuuuh mkuuu pole sana naona kama njia zako kama zangu tu ila tusikatr tamaa maisha lazima yaendeleee tu
Heaven Sent yani umeongea na kuandika kitu cha msingi sana na ukweli...nimefurahi sana...kweli si kwamba wote kansani basi ni safe...yani wapo wanosemekana walikutana kawaida ilandoa imara...yanini Mungu atusaidieNakubaliana na wewe, but naomba tu kutoa ushauri kwamba, isije ikatokea hata siku moja kujiona upo salama kwa sababu umekutana na mtu in Godly places (kanisani, kazini, party etc). Siku hizi kila mtu akitaka kuoa/kuolewa ndo tunajazana kanisani, mtu wa hivi akishapata ndoa, usishangae na kuja kanisani akaacha kabisa. She/he was there kutafuta tu ndoa na sio kuabudu, so ndoa ashaipata aendelee kuja kufanyaje? Na kuna watu ukimkuta mchana kanisani anavyobubujika, hutoamini kuwa huyu huyu mtu ndo anatoa ndugu zake kafara ili afanikiwe etc
Kuna watu wamekutana in Ungodly places na ndoa zao zimestand the test of time na ni ndoa za mfano kwa watu wengi. Kuna watu wameanziana kanisani lakini ndoa zao ukiziona basi utaghairi kuoa/kuolewa, sio ndoa ila ni makelele tu ya room mates. Sisemi kwamba watu wakatafute wake bar/club, but chochote kinaweza kutokea. Ingawa si sehemu nzuri za mtu "Mcha Mungu" kuwepo, but again sio kila mtu utakayemkuta huko hafai kuwa mke/mume. Na tunaona kuna watu walikuwa wameshindikana tabia ila leo wameolewa na wametulia kwenye ndoa zao.
Hiyo sehemu ya kumchunguza mtu ndo pananipa headache kabisa. Ni ngumu kumchunguza mtu kwa macho tu ya kibinadamu na akili za kawaida. Kuna mtu unaweza ukakaa naye hata miaka 5 na kuna baadhi ya tabia zake usizijue. Tushasikia story mtu anakwambia huyu mwanaume nina mahusiano naye mwaka wa 3 ila Sikujua kama ameoa na ana watoto. Nikimuhitaji muda wote anapatikana, kwake naenda wakati wowote, unabaki na maswali yasiyo na majibu. Au zile story mtu amekuoa afu baada ya ndoa unakuja kugundua kuwa wale ndugu zake wote aliokuja nao kwenye harusi ni ndugu wa kukodi. Mungu atusaidie saa katika eneo hili coz the struggle is Real
Amen mpendwaHeaven Sent yani umeongea na kuandika kitu cha msingi sana na ukweli...nimefurahi sana...kweli si kwamba wote kansani basi ni safe...yani wapo wanosemekana walikutana kawaida ilandoa imara...yanini Mungu atusaidie
Kuoa ni muhimu mkuu,kama hauna kikwazo chochote unachoona kinakuzuia kuoa ni vyema kufanya hivyo tena ikiwezekana mapema.Hivi kwani kuishi na furaha ni lazima kuoa? kabla ya kufanya maamauzi ya kuoa ni vema ukafikiriaa haya, pengine ndoa yaweza kuwa kikwazo ktk maisha yako ya kila siku.
Valentina huo ndo ukweli wa mambo yote.Mimi mke wangu nilikutana naye kwenye Bus,mimi nikiwa nimemaliza chuo kikuu,yeye ndo anaenda kuanza mwaka wa kwanza siku hiyo.basi tukapiga stori za hapa na pale nikampa uzoefu wa chuo na maisha ya kampasi kwa ujumla,tangu hapo tukawa mabest hadi leo hii ninavyoongea ni wife tena namshukuru Mungu sana amenipa mke wa haja.Kwa hiyo mke/mume ni popote tu ilimradi umtangulize Mungu.Mkuu hakuna sehemu special ya kupata mke/mume...
Vinginevo endelea kupiga maombi tu
Awww! Hongera mkuu,na Mungu azidishe furaha katika ndoa yenuValentina huo ndo ukweli wa mambo yote.Mimi mke wangu nilikutana naye kwenye Bus,mimi nikiwa nimemaliza chuo kikuu,yeye ndo anaenda kuanza mwaka wa kwanza siku hiyo.basi tukapiga stori za hapa na pale nikampa uzoefu wa chuo na maisha ya kampasi kwa ujumla,tangu hapo tukawa mabest hadi leo hii ninavyoongea ni wife tena namshukuru Mungu sana amenipa mke wa haja.Kwa hiyo mke/mume ni popote tu ilimradi umtangulize Mungu.
Hakika inahitajika subira sana maana mimi siamini kwamba unaweza ukaamka asubuhi ukasema naenda kutafuta mke wa kuoa sehemu fulani,ila mke wa kuoa utakutana naye saa na dakika usiyodhaniAwww! Hongera mkuu,na Mungu azidishe furaha katika ndoa yenu
Hiyo ndio njia uliopangiwa kukutana na huo ubavu wako,naamini kila mtu anayo chance ya kukutana na mtuwe popote iwe hapa JF,msikitini,safarini kama weye na popote pale
Lini na wapi hilo ndio fumbo na linahitaji subira kulifumbua
Ni kweli kaka...Hakika inahitajika subira sana maana mimi siamini kwamba unaweza ukaamka asubuhi ukasema naenda kutafuta mke wa kuoa sehemu fulani,ila mke wa kuoa utakutana naye saa na dakika usiyodhani
Hiyo ingekuwa tu kama vile unavyoenda unachagua nguo dukani ikiwa mpya,yenye mvuto na unaipenda sana lakini baada ya muda fulani hupoteza mvuto,huchakaa na kutupwa jalalani.Ni kweli kaka...
Hebu nikuulize unadhani kungekua na sehemu special unaenda tu unajichukulia mtu wako ingekuaje?
1. Migogoro isingekuwepo kabisa?
2. Kungepunguza mvuto?
Ha haa kwahiyo ni bora tukaendelea kubaki na hili fumbo sio?Hiyo ingekuwa tu kama vile unavyoenda unachagua nguo dukani ikiwa mopya,yenye mvuto na unaipenda sana lakini baada ya muda fulani hupoteza mvuto,huchakaa na kutupwa jalalani.
SI LAZIMA UOE...MIAKA HAIKUSUBIRI..UKISHAKOMAAA UTAELEWA...KWA SASA BADO.....Habari za weekend?
Mimi ni kijana mwenye miaka 30 sasa, nimeanza kujitegemea toka 2011 baada ya kumaliza chuo, si haba sasa nina ahueni ya maisha katika shughuli zangu za kila siku!!
Changamoto kubwa niliyonayo ni jinsi ya kupata mke, huko nyuma nafikiri niliwekeza mahali pasipo sahihi(wakati bado nasoma), mwisho wa siku nikaishia kuumizwa tu hali ambayo ilinifanya niwepowepo tu na mapenzi nishindwe kuyapa uzito unaostahili!
Huku mtaani kila nikijaribu kufurukuta nakutana na vikwazo, either nakutana na mabinti wa 20's ambao habari ya kuolewa si kipaumbele kwao, nikigeuka upande wa pili nakutana na single moms na vituko vyao, sasa huwa nikichanganya na yanayosemwa humu MMU navunjika moyo kabisa!!
Ninachouliza, ni mbinu gani zapaswa kufuatwa ili kupata mtu mwenye utayari na ndoa, najua wapo wanawake wengi wanaotamani kupata wanaume wenye utayari wa kuoa!! Lakini je nakutana nao wapi?
Bora aisee, maana wakaati mwingine huwa mkicharuana mmoja anamkubusha mwenzake,"hivi unakumbuka mimi na wewe tulivyokutana,unakumbuka siku yetu ya kwanza kuonana ilikuwaje?"basi mnaacha ugomvi nakuanza kufurahi tena.Wacha fumbo liendelee!Ha haa kwahiyo ni bora tukaendelea kubaki na hili fumbo sio?