Changamoto ya kupata mke

Changamoto ya kupata mke

Bora mimi nilizalisha mtu nikiwa na miaka 15,saiv nina miaka 32 mwanangu kaingia form 4,tunaishi as if mtu na kaka yake,wazo la kuoa sina kwa sasa coz lengo la kuoa ni kuwa na familia,tayari ninayo so sitaki hata kusikia habari za mke.
 
We are on the same boat bro. Yaani mi mwenyewe nimeishia kuomba kudra ya Mwenyezi Mungu. Kikubwa ni ibada maana unaweza ukapata MKE lkn asiwe mama mwenye malezi mazuri kwa watoto na wako.

Otherwise, hamna formula ya kumpata MKE. Every woman is a "wife material" inategemea wewe preferences zako ( ).
 
kuna baadhi ya sehemu unaeza kutana na mtu ukajihisi ni salama kidogo, ...
Nakubaliana na wewe, but naomba tu kutoa ushauri kwamba, isije ikatokea hata siku moja kujiona upo salama kwa sababu umekutana na mtu in Godly places (kanisani, kazini, party etc). Siku hizi kila mtu akitaka kuoa/kuolewa ndo tunajazana kanisani, mtu wa hivi akishapata ndoa, usishangae na kuja kanisani akaacha kabisa. She/he was there kutafuta tu ndoa na sio kuabudu, so ndoa ashaipata aendelee kuja kufanyaje? Na kuna watu ukimkuta mchana kanisani anavyobubujika, hutoamini kuwa huyu huyu mtu ndo anatoa ndugu zake kafara ili afanikiwe etc

Kuna watu wamekutana in Ungodly places na ndoa zao zimestand the test of time na ni ndoa za mfano kwa watu wengi. Kuna watu wameanziana kanisani lakini ndoa zao ukiziona basi utaghairi kuoa/kuolewa, sio ndoa ila ni makelele tu ya room mates. Sisemi kwamba watu wakatafute wake bar/club, but chochote kinaweza kutokea. Ingawa si sehemu nzuri za mtu "Mcha Mungu" kuwepo, but again sio kila mtu utakayemkuta huko hafai kuwa mke/mume. Na tunaona kuna watu walikuwa wameshindikana tabia ila leo wameolewa na wametulia kwenye ndoa zao.

Hiyo sehemu ya kumchunguza mtu ndo pananipa headache kabisa. Ni ngumu kumchunguza mtu kwa macho tu ya kibinadamu na akili za kawaida. Kuna mtu unaweza ukakaa naye hata miaka 5 na kuna baadhi ya tabia zake usizijue. Tushasikia story mtu anakwambia huyu mwanaume nina mahusiano naye mwaka wa 3 ila Sikujua kama ameoa na ana watoto. Nikimuhitaji muda wote anapatikana, kwake naenda wakati wowote, unabaki na maswali yasiyo na majibu. Au zile story mtu amekuoa afu baada ya ndoa unakuja kugundua kuwa wale ndugu zake wote aliokuja nao kwenye harusi ni ndugu wa kukodi. Mungu atusaidie saa katika eneo hili coz the struggle is Real
 
Heaven Sent yani umeongea na kuandika kitu cha msingi sana na ukweli...nimefurahi sana...kweli si kwamba wote kansani basi ni safe...yani wapo wanosemekana walikutana kawaida ilandoa imara...yanini Mungu atusaidie
 
Hivi kwani kuishi na furaha ni lazima kuoa? kabla ya kufanya maamauzi ya kuoa ni vema ukafikiriaa haya, pengine ndoa yaweza kuwa kikwazo ktk maisha yako ya kila siku.
Kuoa ni muhimu mkuu,kama hauna kikwazo chochote unachoona kinakuzuia kuoa ni vyema kufanya hivyo tena ikiwezekana mapema.
 
Mkuu hakuna sehemu special ya kupata mke/mume...

Vinginevo endelea kupiga maombi tu
Valentina huo ndo ukweli wa mambo yote.Mimi mke wangu nilikutana naye kwenye Bus,mimi nikiwa nimemaliza chuo kikuu,yeye ndo anaenda kuanza mwaka wa kwanza siku hiyo.basi tukapiga stori za hapa na pale nikampa uzoefu wa chuo na maisha ya kampasi kwa ujumla,tangu hapo tukawa mabest hadi leo hii ninavyoongea ni wife tena namshukuru Mungu sana amenipa mke wa haja.Kwa hiyo mke/mume ni popote tu ilimradi umtangulize Mungu.
 
Awww! Hongera mkuu,na Mungu azidishe furaha katika ndoa yenu

Hiyo ndio njia uliopangiwa kukutana na huo ubavu wako,naamini kila mtu anayo chance ya kukutana na mtuwe popote iwe hapa JF,msikitini,safarini kama weye na popote pale

Lini na wapi hilo ndio fumbo na linahitaji subira kulifumbua
 
Hakika inahitajika subira sana maana mimi siamini kwamba unaweza ukaamka asubuhi ukasema naenda kutafuta mke wa kuoa sehemu fulani,ila mke wa kuoa utakutana naye saa na dakika usiyodhani
 
Njia ya kumpata mwanamke ni kutongoza hakuna msaada mwingine.
Ndoa, short or long term relationship utaipata baada ya kutongoza.
 
Hakika inahitajika subira sana maana mimi siamini kwamba unaweza ukaamka asubuhi ukasema naenda kutafuta mke wa kuoa sehemu fulani,ila mke wa kuoa utakutana naye saa na dakika usiyodhani
Ni kweli kaka...

Hebu nikuulize unadhani kungekua na sehemu special unaenda tu unajichukulia mtu wako ingekuaje?

1. Migogoro isingekuwepo kabisa?

2. Kungepunguza mvuto?
 
Hiyo ingekuwa tu kama vile unavyoenda unachagua nguo dukani ikiwa mpya,yenye mvuto na unaipenda sana lakini baada ya muda fulani hupoteza mvuto,huchakaa na kutupwa jalalani.
 
Hiyo ingekuwa tu kama vile unavyoenda unachagua nguo dukani ikiwa mopya,yenye mvuto na unaipenda sana lakini baada ya muda fulani hupoteza mvuto,huchakaa na kutupwa jalalani.
Ha haa kwahiyo ni bora tukaendelea kubaki na hili fumbo sio?
 
Habari za weekend?

Mimi ni kijana mwenye miaka 30 sasa, nimeanza kujitegemea toka 2011 baada ya kumaliza chuo, si haba sasa nina ahueni ya maisha katika shughuli zangu za kila siku!!

Changamoto kubwa niliyonayo ni jinsi ya kupata mke, huko nyuma nafikiri niliwekeza mahali pasipo sahihi(wakati bado nasoma), mwisho wa siku nikaishia kuumizwa tu hali ambayo ilinifanya niwepowepo tu na mapenzi nishindwe kuyapa uzito unaostahili!

Huku mtaani kila nikijaribu kufurukuta nakutana na vikwazo, either nakutana na mabinti wa 20's ambao habari ya kuolewa si kipaumbele kwao, nikigeuka upande wa pili nakutana na single moms na vituko vyao, sasa huwa nikichanganya na yanayosemwa humu MMU navunjika moyo kabisa!!

Ninachouliza, ni mbinu gani zapaswa kufuatwa ili kupata mtu mwenye utayari na ndoa, najua wapo wanawake wengi wanaotamani kupata wanaume wenye utayari wa kuoa!! Lakini je nakutana nao wapi?
SI LAZIMA UOE...MIAKA HAIKUSUBIRI..UKISHAKOMAAA UTAELEWA...KWA SASA BADO.....
 
Back
Top Bottom