Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Duh kuoa na 35 mkuu?? Hapo first born anapatikana lini??
Kuna waliooa wakiwa na 30...wakapata Watt wakiwa na 40!hapo vp!? Njia za Mungu sio njia zako ww muombe tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kuoa na 35 mkuu?? Hapo first born anapatikana lini??
acheni kukatishana tamaa. shughuli ya kupata mtoto inaweza kuchukua miezi tisa au miaka mitatu hadi mitano hadi ishirini au asipatikane milele hata kama utaoa na miaka 19. Mbona waliooa mapema wanaendelea kuzaa watoto wao tatu au wanne wakiwa na miaka hata 40? cha msingi uoe mwanamke ambaye ana nguvu. siyo unataka watoto watatu unaoa mwanamke yuko late 30s. kwa interval ya miaka miwili miwili atafika menopause hajamaliza kuzaa ingawa kuna tofauti kati ya mwanamke na mwanamke kimaumbile. Pia ni vizuri kuwa open minded ukubali kuwa ndoa si kwa ajili ya watoto tu bali ni kwa companion zaidi.Mkuu 34 au 35 ndio mtu aoe, je umesahau shughuli ya kupata mtoto inaweza chukua hata miaka mi tatu au mitano?
Haaaaahaaa Nimechekakuna mmoja yupo poa xna kaa secretary sehem, ila umeshanunu hata kaa vits nikulengeshe, maana anapenda vigar venye kiyoyozi kwel.
wala. mbona kuna watu wanaume wana nyumba, hela, magari na sura nzuri lakini hawajapata wake? kila mtu ana mtihani wa aina yake bila kujali hali yake. mbona kuna wanaume hawana kitu na wameoa wake wema tu?Titizo ni pasepshen za wadada zetu ndo Zinatufanya tupate changamoto ya kuoa. Wanataka uwe na gari, nyumba af muwe mnaishi maisha flan ya kwenye TV
tulia hivyo hivyo dawa iingie maana ukipata mke kirahisi utakosa unyenyekevu. Ukimpata kirahisi utasema umempata kwa sababu una ajira serikalini, biashara, maisha yako yako poa, pesa siyo mtihani n.k. Uteseke kumpata ili siku ukimpata umhimidi Mungu na useme "si kwa majeshi, wala silaha.........." ni kwa neema tu, na uitunze hiyo ndoa ukikumbuka hiyo neema. sawa sawa?Hii imenigusa hata mimi kwa umri na maisha yangu yako poa,pesa kwangu sio mtihani,kama ni elimu nina Shahada,ajira ya serikali,nina biashara ambazo nimeajiri watu,lakini ni miaka mitatu sasa natafuta mke sipati,naona wanawake wote wajasilia mwili,ni ngumu sana kupata mke hasa kwa sisi wakazi wa Dar es Salaam
Tatizo domo zegeDah, kumbe haya mapenzi yanawatesa wengi hivi? mimi najuaga ni stori tu.
Wanasema mapenzi ni pesa, sasa pesa unayo lkn bado ni shiidah!!! sasa mapenzi ninini???
ili sasa lishakuwa tatizo sugu inabidi selikari iingilie kati mana hali ishakuwa mbayaa wanaume tumekata tamaa kabisa ya kupata majiko
ila najiuliza kwann vijana wa vipato vya kawaida tena wengine tumewaajili ktk vitega uchumi wanaWAKE na wanaishi maisha ya AMANI
why sisi wenye kiasi cha mboga kazi ya uhakika wengne gari za kutembelea nyumba nk
lkn tunalandalanda tu mitaani na kuzidi kulalamika nahisi kina sehemu tunakosea tujichunguzee sisi wenyewe kwanza udhaifu ni upi
Dah hiyo ni changamoto sana siku izi, usishangae hauko peke yako...yeyote aliye makini na anataka mwanamke makini maishani atakiri ni changamoto japo inawezekana kabisa, endelea ivo ivo kutafuta usikate tamaa japo uvumilivu ni muhimu sana
Vigezo vingi sana mkuuDah pole Mkuu tuko pamoja mi pia kama wewe naumiza kichwa nitampata wapi mke anayenifaa imekuwa ngumu hadi naelekea kukata tamaa nijitafutie mtoto tu make kwa umri huu miaka 30 mambo bado hayasomeki niliweka hadi post love connect kutafuta mke nikataja hadi sifa lakini bado. Duh kichwa kinauma na sitaki kubeba yeyote bora nizae tu.
Ndo hivyo Mkuu lakini watu wenye navyo wapo. Wewe umekosa kipi hapo? Au we ni Me?Vigezo vingi sana mkuu
Namfahamu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]kuna mmoja yupo poa xna kaa secretary sehem, ila umeshanunu hata kaa vits nikulengeshe, maana anapenda vigar venye kiyoyozi kwel.
Mwalimu napita tu...........tulia hivyo hivyo dawa iingie maana ukipata mke kirahisi utakosa unyenyekevu. Ukimpata kirahisi utasema umempata kwa sababu una ajira serikalini, biashara, maisha yako yako poa, pesa siyo mtihani n.k. Uteseke kumpata ili siku ukimpata umhimidi Mungu na useme "si kwa majeshi, wala silaha.........." ni kwa neema tu, na uitunze hiyo ndoa ukikumbuka hiyo neema. sawa sawa?
[emoji389] [emoji385] [emoji385] [emoji385]Toa sana pesa.
Mkuu acha dharau! Mungu si mjinga kuweka watu tofauti na yy ndo anajua ubavu wa huyo Kaka, anaweza akawa bness women na ndoa ikawa nzuriUshaurii..
Mkuu tafuta mwanamke mwenye taaluma ya Uwalimu..
Huto jutia..
Waliobakia niwapiga selfie tuu..
Asante, Jibu Zuri sanatulia hivyo hivyo dawa iingie maana ukipata mke kirahisi utakosa unyenyekevu. Ukimpata kirahisi utasema umempata kwa sababu una ajira serikalini, biashara, maisha yako yako poa, pesa siyo mtihani n.k. Uteseke kumpata ili siku ukimpata umhimidi Mungu na useme "si kwa majeshi, wala silaha.........." ni kwa neema tu, na uitunze hiyo ndoa ukikumbuka hiyo neema. sawa sawa?
Ushauri, usikate tamaa... Na usithubutu kuzaa ndugu, yaani ukimpa mimba mtu tu na mwana atatokea then utajuta! Mungu anapima uvumilivu!Ndo hivyo Mkuu lakini watu wenye navyo wapo. Wewe umekosa kipi hapo? Au we ni Me?