Mshua original
Member
- Feb 15, 2016
- 27
- 12
Asante Mkuu kwa ushauri lakini tunahofia kuchelewa sana kuleaUshauri, usikate tamaa... Na usithubutu kuzaa ndugu, yaani ukimpa mimba mtu tu na mwana atatokea then utajuta! Mungu anapima uvumilivu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Mkuu kwa ushauri lakini tunahofia kuchelewa sana kuleaUshauri, usikate tamaa... Na usithubutu kuzaa ndugu, yaani ukimpa mimba mtu tu na mwana atatokea then utajuta! Mungu anapima uvumilivu!
Unahofia nn? Mungu wa ajabu sn! Mi nina rfk wa umri wangu km 3waliolewa wakiwa na 25,hivi navyoongea na ww mmoja ndo Ana mimba nw baada ya maombi tena ya Muda... after 10yrs ya ndoa, mwingine bado ndo tupo nao kwny maombi... U can imagine, ndo maana nawaambia watu mjifunze ndoa sio Watt tu na kuwa unachowaza ww sio anachowaza Mungu!we omba mapenz yake yatimie!Asante Mkuu kwa ushauri lakini tunahofia kuchelewa sana kulea
Sasa huyo utakaye tafuta nae mtoto kwa nini usimuoe huyohuyo.. Maana naamini utakua umempenda na anavigezo unavyovitaka hata kama si vyote. Kama ni tabia mtarekebishana tu hakuna aliye mkamilifu. Sasa unamzalisha umuache alafu nan amuoe. Acheni kufanya maisha ya dada zetu kuzidi kua magumu. Na ukiendelea na mawazo hayo hata Mungu hawezi kukupa mke mwemaDah pole Mkuu tuko pamoja mi pia kama wewe naumiza kichwa nitampata wapi mke anayenifaa imekuwa ngumu hadi naelekea kukata tamaa nijitafutie mtoto tu make kwa umri huu miaka 30 mambo bado hayasomeki niliweka hadi post love connect kutafuta mke nikataja hadi sifa lakini bado. Duh kichwa kinauma na sitaki kubeba yeyote bora nizae tu.
Kweli kabisa. Tena wale wanaokuaga matron kwenye sendoff au kitchen part za wenzao ndo wenyewe hao mkuu. Mara nyingi huwa wanapenda nao kuolewa na wengi wao ni wife material japo sio wote.. Hivyo mtoa mada jaribu kuwacheki na hawa piaWanawake wengi wanaotaka kuolewa hupenda kuhudhuria harusi na mara nyingi kusjona sare. Ukiwa makini unaweza kuwafuatilia na kujua background zao na baadae ukiridhiki kuoana.
Mwenye stress za maisha utamjuaje? Na kama demu wako hukumtoa bikra wewe ujue alishaachwa huko alikotoka sa sijui umejihadhar nae. Na wewe pia inawezekana ulishawahi kuachwa so wadada wajihadhar na wewe pia? Na mtu kua single mom sio kigezo cha kutokuolewa.. Mapenz ni kuridhiana mkishapendana hayo mengine hayana maanaDuh hio kweli
Jihadhari na ma single moms
Jiahadhari na walio achwa au wenye stress za maisha acha kabisa
Mwenye stress za maisha utamjuaje? Na kama demu wako hukumtoa bikra wewe ujue alishaachwa huko alikotoka sa sijui umejihadhar nae. Na wewe pia inawezekana ulishawahi kuachwa so wadada wajihadhar na wewe pia? Na mtu kua single mom sio kigezo cha kutokuolewa.. Mapenz ni kuridhiana mkishapendana hayo mengine hayana maana
Asante mkuu..nikipata mwaliko sitasita kuhudhuria!!Kweli kabisa. Tena wale wanaokuaga matron kwenye sendoff au kitchen part za wenzao ndo wenyewe hao mkuu. Mara nyingi huwa wanapenda nao kuolewa na wengi wao ni wife material japo sio wote.. Hivyo mtoa mada jaribu kuwacheki na hawa pia
Mnachagua mno mnataka mtu amabaye yupo perfect wakati hata wewe mwenyewe siyo perfect.ili sasa lishakuwa tatizo sugu inabidi selikari iingilie kati mana hali ishakuwa mbayaa wanaume tumekata tamaa kabisa ya kupata majiko
ila najiuliza kwann vijana wa vipato vya kawaida tena wengine tumewaajili ktk vitega uchumi wanaWAKE na wanaishi maisha ya AMANI
why sisi wenye kiasi cha mboga kazi ya uhakika wengne gari za kutembelea nyumba nk
lkn tunalandalanda tu mitaani na kuzidi kulalamika nahisi kina sehemu tunakosea tujichunguzee sisi wenyewe kwanza udhaifu ni upi
Mh...so sisi wakina matron na maids ndo tunafaa...mhAsante mkuu..nikipata mwaliko sitasita kuhudhuria!!
Nahuku kumbe unafikaga mkuuHaya kinadada sasa, ooh, mi sina bahati...
Wanaume wa kuoa wachache siku hizi, changamkieni tenda.
Mi nafika kote kama electron.Nahuku kumbe unafikaga mkuu
Kaja kutafuta mke tehNahuku kumbe unafikaga mkuu
Sawa....fanya upate mtoto tu hayo mengine tutanegotiate
Shida ya kukariri hiyo.Mkuu acha dharau! Mungu si mjinga kuweka watu tofauti na yy ndo anajua ubavu wa huyo Kaka, anaweza akawa bness women na ndoa ikawa nzuri
Swali muruaaaaaa!Is your mother proud of you?