Changamoto ya kupata mke

Changamoto ya kupata mke

Asante Mkuu kwa ushauri lakini tunahofia kuchelewa sana kulea
Unahofia nn? Mungu wa ajabu sn! Mi nina rfk wa umri wangu km 3waliolewa wakiwa na 25,hivi navyoongea na ww mmoja ndo Ana mimba nw baada ya maombi tena ya Muda... after 10yrs ya ndoa, mwingine bado ndo tupo nao kwny maombi... U can imagine, ndo maana nawaambia watu mjifunze ndoa sio Watt tu na kuwa unachowaza ww sio anachowaza Mungu!we omba mapenz yake yatimie!
 
Dah pole Mkuu tuko pamoja mi pia kama wewe naumiza kichwa nitampata wapi mke anayenifaa imekuwa ngumu hadi naelekea kukata tamaa nijitafutie mtoto tu make kwa umri huu miaka 30 mambo bado hayasomeki niliweka hadi post love connect kutafuta mke nikataja hadi sifa lakini bado. Duh kichwa kinauma na sitaki kubeba yeyote bora nizae tu.
Sasa huyo utakaye tafuta nae mtoto kwa nini usimuoe huyohuyo.. Maana naamini utakua umempenda na anavigezo unavyovitaka hata kama si vyote. Kama ni tabia mtarekebishana tu hakuna aliye mkamilifu. Sasa unamzalisha umuache alafu nan amuoe. Acheni kufanya maisha ya dada zetu kuzidi kua magumu. Na ukiendelea na mawazo hayo hata Mungu hawezi kukupa mke mwema
 
Wanawake wengi wanaotaka kuolewa hupenda kuhudhuria harusi na mara nyingi kusjona sare. Ukiwa makini unaweza kuwafuatilia na kujua background zao na baadae ukiridhiki kuoana.
Kweli kabisa. Tena wale wanaokuaga matron kwenye sendoff au kitchen part za wenzao ndo wenyewe hao mkuu. Mara nyingi huwa wanapenda nao kuolewa na wengi wao ni wife material japo sio wote.. Hivyo mtoa mada jaribu kuwacheki na hawa pia
 
Duh hio kweli

Jihadhari na ma single moms
Jiahadhari na walio achwa au wenye stress za maisha acha kabisa
Mwenye stress za maisha utamjuaje? Na kama demu wako hukumtoa bikra wewe ujue alishaachwa huko alikotoka sa sijui umejihadhar nae. Na wewe pia inawezekana ulishawahi kuachwa so wadada wajihadhar na wewe pia? Na mtu kua single mom sio kigezo cha kutokuolewa.. Mapenz ni kuridhiana mkishapendana hayo mengine hayana maana
 
Mwenye stress za maisha utamjuaje? Na kama demu wako hukumtoa bikra wewe ujue alishaachwa huko alikotoka sa sijui umejihadhar nae. Na wewe pia inawezekana ulishawahi kuachwa so wadada wajihadhar na wewe pia? Na mtu kua single mom sio kigezo cha kutokuolewa.. Mapenz ni kuridhiana mkishapendana hayo mengine hayana maana

Umeongea vizuri mkuu...

Ila hivyo ndivyo ilivyo impacts za hawa watu hazina fidia zinaweza ku costs your lifetime hapa duniani...

Narudia tena kama unajua upo fresh, hujawahi kuzini au kufanya upuuzi wowote ule kwa mwanamke au mwanamume basi jitahidi usije oa au olewa na aliye wahi fanya upuuzi kwa kisingizio kuwa utambadilisha kuwa mzuri..

Ila kwa vile tuna njia mbili ima right or left we can whatever.

Ila tukitubia na tukakiri na tuka strategy kila kitu bila ya kuhusisha nguvu ya kupenda basi majuto hayata kuwepo.
 
Kweli kabisa. Tena wale wanaokuaga matron kwenye sendoff au kitchen part za wenzao ndo wenyewe hao mkuu. Mara nyingi huwa wanapenda nao kuolewa na wengi wao ni wife material japo sio wote.. Hivyo mtoa mada jaribu kuwacheki na hawa pia
Asante mkuu..nikipata mwaliko sitasita kuhudhuria!!
 
Mapenzi hayanunuliki hata kama una pesa kiasi gani kwakua hayatengenezwi kiwandani km sukari,unga, nguo au gari.
 
ili sasa lishakuwa tatizo sugu inabidi selikari iingilie kati mana hali ishakuwa mbayaa wanaume tumekata tamaa kabisa ya kupata majiko

ila najiuliza kwann vijana wa vipato vya kawaida tena wengine tumewaajili ktk vitega uchumi wanaWAKE na wanaishi maisha ya AMANI
why sisi wenye kiasi cha mboga kazi ya uhakika wengne gari za kutembelea nyumba nk
lkn tunalandalanda tu mitaani na kuzidi kulalamika nahisi kina sehemu tunakosea tujichunguzee sisi wenyewe kwanza udhaifu ni upi
Mnachagua mno mnataka mtu amabaye yupo perfect wakati hata wewe mwenyewe siyo perfect.
 
Ndugu mke hapatikani kwa kuchagua mazingira yakukuta nae ni sehem yoyote,mifano ipo mingi mno ambayo huwezi kuimaliza yote, mojawapo shuleni, bar, harusini, misibani,sherehe, hospitalini, njiani, safarini, sokoni, mashambani, maofisini, ujirani, kupita njia moja kwa mda mrefu,saluni,dukani, visima vya maji, kanisani, maonyesho, mitandao ya kijamii, magazetini, kumbi za starehe, michezoni kwa hiyo jitahidi tu ndugu utapata lakini cha msingi mshirikishe Mungu katika mahitaji yako nae atakupa kile unachohtaj.
 
Wake wema wanapatikana kanisani pekee. Kama hujaokoka okoka,Omba kwa bidii Mungu atafungua macho yako. Atakuonyesha. MUNGU anakupa mke sawasawa na wewe ulivyo, unawapata hao unaowapata sababu ndivyo ulivyo. Ukitaka unaowataka kaa kama wao.
 
Back
Top Bottom