Changamoto ya mahindi kukosa soko

Changamoto ya mahindi kukosa soko

John makonda

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
263
Reaction score
246
Ningependa kuchangia walau kidogo kuhusu mahindi kukosa soko
Hizo ni dalili la kutokua tayali hayo ni matokeo ya kuto kukijua vyema Tanzania endapo Kila mkulima stamina kisses Kama tuna to shawishi Hali itakuaje?

Hiyo ni neema kidogo tu ya mahindi tayari Changa moto mahindi tusiyachukulie ni kwa ajili ya ugali tu hapo ndipo tatizo lipo mahindi yanaweza kutumika kama chakula Cha mifugo endapo tu wafugaji wataelimishwa ufugaji Bora yakatumika kulishia mifugo

Pia mahindi yanaweza kutumika kutengeneza vinywaji mbali mbali
mahindi yanaweza kuzalisha mafuta ambayo Yana thamani kubwa na mabaki yakatumika kwa mifugo pia

Hata hayo wataalamu hawayaoni ni kwa vile huwa fursa huwa hatuzioni
changa Moto ya mahindi ni fursa mbalimbali ndiyo maana nilitangulia kusema hiyo ni neema kidogo tu hata kilimo Bora Cha mahindi kinafanyika eneo dogo tu tumeshaanza kulia

vipi mpunga, karanga, ufuta, mtama, ngano, ulezi, kahawa nk, ambavyo yote hayo yakizalishwa vyema tumejiaandaaje?
 
Mwl. alifanya kosa kubwa sana kuruhusu wanasiasa kuwa na influence kubwa kwenye nchi hii.........siasa ni adui namba moja wa maendeleo.
 
Back
Top Bottom