3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Tangu lini mtandao wa Yasinta ukawa stable?Salama wakuu
Kuanzia mida ya jioni leo huu mtandao wa Yas naona unanipa shida kufanya mawasiliano kwenye kifaa changu
Simu hazitoki, sms haziingii internet imekata ukiwatafuta huduma kwa wateja no hazitoki
Sijajua shida ipo kwenye simu yangu au na wale wanaoutumia mtandao huu wamepata changamoto hii?
Jina sio zuri hataSalama wakuu
Kuanzia mida ya jioni leo huu mtandao wa Yas naona unanipa shida kufanya mawasiliano kwenye kifaa changu
Simu hazitoki, sms haziingii internet imekata ukiwatafuta huduma kwa wateja no hazitoki
Sijajua shida ipo kwenye simu yangu au na wale wanaoutumia mtandao huu wamepata changamoto hii?
jamaani biashara ya watu wewe jina linakusumbua je?Jina sio zuri hata
Nilijua ni mimi tu nina huduma ninapata toka kwao hakuna kilichokua kinapatikana,mbaya zaidi hawasemiSalama wakuu
Kuanzia mida ya jioni leo huu mtandao wa Yas naona unanipa shida kufanya mawasiliano kwenye kifaa changu
Simu hazitoki, sms haziingii internet imekata ukiwatafuta huduma kwa wateja no hazitoki
Sijajua shida ipo kwenye simu yangu au na wale wanaoutumia mtandao huu wamepata changamoto hii?
Mtandao mbovu.Salama wakuu
Kuanzia mida ya jioni leo huu mtandao wa Yas naona unanipa shida kufanya mawasiliano kwenye kifaa changu
Simu hazitoki, sms haziingii internet imekata ukiwatafuta huduma kwa wateja namba hazitoki
Sijajua shida ipo kwenye simu yangu au na wale wanaoutumia mtandao huu wamepata changamoto hii?
Yaani acha mkuu, nimehangaika karibu saa nzima mtandao hakunaNilijua ni mimi tu nina huduma ninapata toka kwao hakuna kilichokua kinapatikana,mbaya zaidi hawasemi
Ha ha ha ha hapo unatafuta ugomvi na wafuasi wa madeni Fc ingawa ubovu wao ni zaidi ya YasSio kwako tu Yas ni la hovyo sio leo tu, wapo kama Yanga
CriSanToS said:Jina lina sound vibaya kweli yani,, ety nipigie kwenye namba yangu ya Yas aaagrr
Tangu lini NYASH MIX BY ASS, ikafanya kazi kwa Ufanisi?? 🤔 🤔 🤔Salama wakuu
Kuanzia mida ya jioni leo huu mtandao wa Yas naona unanipa shida kufanya mawasiliano kwenye kifaa changu
Simu hazitoki, sms haziingii internet imekata ukiwatafuta huduma kwa wateja namba hazitoki
Sijajua shida ipo kwenye simu yangu au na wale wanaoutumia mtandao huu wamepata changamoto hii?
Tatizo ni hilo Jina la N yas hSalama wakuu